NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Ngoja waone hiii 😁Mkereketwa mwenyewe huyu hapa 🤣View attachment 3390291
Weka hoja ZAKO zenye mashikoYaani ukileta hoja hizo na mimi nikaweka hoja za kwanini Karia anastahili kuwepo TFF,utakimbi humu JF.
Hasitahili kuwepo kwenye mpira wetuHastahili kuwa ama hastahili kuendelea!???
Sitaziweka kwasababu hoja zako ni dhaifu sana.Hasitahili kuwepo kwenye mpira wetu
Kila kipenhele ungekuwa unalimganisha na tawala zilizopitaWallace Karia, ambaye amehudumu kama Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa vipindi kadhaa, amekuwa akitajwa mara kwa mara kama kiongozi aliyeshindwa kuleta mabadiliko makubwa katika soka la Tanzania. Kuna sababu kadhaa ambazo zinamfanya kuonekana hastahili kuendelea kushikilia nafasi hiyo muhimu.
Kwanza, kudorora kwa maendeleo ya soka la vijana na wanawake ni ishara kwamba uongozi wake haujawekeza kikamilifu katika kuandaa kizazi kipya cha wachezaji. Licha ya kuwepo kwa sera nyingi, hakuna mikakati madhubuti ya kuhakikisha vipaji vya vijana vinatambuliwa na kulelewa ipasavyo.
Pili, usimamizi wa ligi umekuwa na changamoto kubwa. Kumekuwa na malalamiko ya upendeleo katika maamuzi ya TFF, hasa katika upangaji wa ratiba, uteuzi wa waamuzi, na ukimya wa TFF mbele ya baadhi ya matukio ya wazi ya upendeleo katika michezo ya ligi kuu.
Tatu, uhusiano mbovu kati ya TFF na wadau wa soka kama vilabu, mashabiki, na waandishi wa habari umeendelea kudhoofisha taswira ya shirikisho hilo. Badala ya kujenga mazingira ya ushirikiano, baadhi ya maamuzi ya TFF chini ya Karia yameongeza migogoro isiyo ya lazima.
Mwisho, matokeo ya timu ya taifa bado hayaridhishi. Katika kipindi chake, licha ya juhudi chache, Taifa Stars bado inahangaika kupata mafanikio ya kudumu kimataifa, jambo linaloashiria kasoro katika mipango ya muda mrefu ya maendeleo ya soka nchini.
Kwa msingi huu, Wallace Karia hastahili kuendelea kuwa Rais wa TFF. Soka la Tanzania linahitaji damu mpya yenye maono mapya, uadilifu wa kweli, na mikakati madhubuti ya kuleta mapinduzi chanya katika kila ngazi ya mchezo
huu pendwa.
Wako NALIA NGWENA PAKOME ZUZWA MKEREKETWA NA MDAU MKUBWA WA BALL TANZANI.
Karia abaki ili at least muwe mnashika nafasi ya pilikiufupi kuna maeneo ukiamua kuyatolea macho basi ujinga wako unaonekana hadharani,kama eneo hili la rais wa TFF,
inahitaji uwe mjinga kwa asilimia mia moja ndio useme kuwa Karia hafai kuwa kiongozi wa TFF ....
itoshe tu kusema wewe ni miongoni mwa wajinga hao.
Kweli kabisa aiseeeKumbe mkuu una akili umeweka ushabiki pembeni na unajua kujenga hoja nilidhani utopolo sote ni mazuzu hatuna akili kasoro wale wawili tu japo ukimskiza Arafat Hajji akiongelea usajili wa Feitoto kurudi nyumbani unaongeza wenye akili wanafika watatu , ukimskiza Injinia Hersi akiongea kuhusu kujenga stadium na pitch kali kuzidi Santiago Bernabeu wanafika wanne, ukimskiza Ally Kamwe kuhusu kuitungua Simba na supu ya ngamia wanatimia watu watano wenye akili Yanga.
Kitu kimoja umesahau ni yeye kubeba endorsements zote na kuwakosesha wagombea wenzake nafasi ya kushiriki uchaguzi, kuiba pesa za Yanga ushindi wa shirikisho mwaka jana , pia kuwa na kipara wenye vipara huwa akili hamna nao hudharau kila mtu hata shetani, pia umesahau tff haijamrudisha Adel kocha mkuu hadi leo Taifa Stars inabebwa na juhudi za wachezaji tu, ona kocha Miloud Hamdi katoa surprise ya viungo watatu katikati Aucho, Abuya na Mudathir Simba hawakupata hata kujua goli la Yanga liko upande upi wa jukwaa, kocha ni muhimu sana. Huyu dingi ni king'ang'a ile mbaya atoke basi tupate mawazo mapya na Simba ishinde kwa haki maana ligi inaboa sana mbeleko zisizo na aibu mbele ya camera na bado makolo wameangukia pua!!
Walio karibu na kipara wamwambie apumzike imetosha sasa hana faida kwa mpira wa bongo ni uharibifu tu, ligi imemshinda kuendesha , tunataka mtu mpya, tena aliecheza boli ligi kuu anakuwa na uchungu sana kama yule dingi Tenga alivyokuza mpira wetu.
huyu jamaa uwezo wake mdogo sana angalia kuhusu kocha mkuu wa timu ya taifa,yaani kocha wa namungo au geita gold ndio unampa kuwa kocha wa timu ya taifa na unamlipa mshahara sawa na kocha kutoka nje ya nchi?Wallace Karia, ambaye amehudumu kama Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa vipindi kadhaa, amekuwa akitajwa mara kwa mara kama kiongozi aliyeshindwa kuleta mabadiliko makubwa katika soka la Tanzania. Kuna sababu kadhaa ambazo zinamfanya kuonekana hastahili kuendelea kushikilia nafasi hiyo muhimu.
Kwanza, kudorora kwa maendeleo ya soka la vijana na wanawake ni ishara kwamba uongozi wake haujawekeza kikamilifu katika kuandaa kizazi kipya cha wachezaji. Licha ya kuwepo kwa sera nyingi, hakuna mikakati madhubuti ya kuhakikisha vipaji vya vijana vinatambuliwa na kulelewa ipasavyo.
Pili, usimamizi wa ligi umekuwa na changamoto kubwa. Kumekuwa na malalamiko ya upendeleo katika maamuzi ya TFF, hasa katika upangaji wa ratiba, uteuzi wa waamuzi, na ukimya wa TFF mbele ya baadhi ya matukio ya wazi ya upendeleo katika michezo ya ligi kuu.
Tatu, uhusiano mbovu kati ya TFF na wadau wa soka kama vilabu, mashabiki, na waandishi wa habari umeendelea kudhoofisha taswira ya shirikisho hilo. Badala ya kujenga mazingira ya ushirikiano, baadhi ya maamuzi ya TFF chini ya Karia yameongeza migogoro isiyo ya lazima.
Mwisho, matokeo ya timu ya taifa bado hayaridhishi. Katika kipindi chake, licha ya juhudi chache, Taifa Stars bado inahangaika kupata mafanikio ya kudumu kimataifa, jambo linaloashiria kasoro katika mipango ya muda mrefu ya maendeleo ya soka nchini.
Kwa msingi huu, Wallace Karia hastahili kuendelea kuwa Rais wa TFF. Soka la Tanzania linahitaji damu mpya yenye maono mapya, uadilifu wa kweli, na mikakati madhubuti ya kuleta mapinduzi chanya katika kila ngazi ya mchezo
huu pendwa.
Wako NALIA NGWENA PAKOME ZUZWA MKEREKETWA NA MDAU MKUBWA WA BALL TANZANI.
Huyo akili zake anazijua mwenyewehuyu jamaa uwezo wake mdogo sana angalia kuhusu kocha mkuu wa timu ya taifa,yaani kocha wa namungo au geita gold ndio unampa kuwa kocha wa timu ya taifa na unamlipa mshahara sawa na kocha kutoka nje ya nchi?
Lakini kwa kuwa tff imekiuka sera ya taifa ya michezo huyo jamaa hastahili kuwa rais wa tff
Mbumbumbu huwa mnafarijika na vitu vidogo vidogo sana. Nyinyi mnampenda kwa sababu anawabeba mara zote, halafu mwisho wa siku mbereko inakatika.kiufupi kuna maeneo ukiamua kuyatolea macho basi ujinga wako unaonekana hadharani,kama eneo hili la rais wa TFF,
inahitaji uwe mjinga kwa asilimia mia moja ndio useme kuwa Karia hafai kuwa kiongozi wa TFF ....
itoshe tu kusema wewe ni miongoni mwa wajinga hao.