Kwa nini wana JF ampendi kuweka avatar zenu halisi?

Kwa nini wana JF ampendi kuweka avatar zenu halisi?

Ya kwangu ni halisi kabisa walahi!
 
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, I bet zadi ya members 97% humu ndani awajaweka na awataki kuweka avatar halisi humu, tatizo ni nini wana JF, naombeni mitazamo yenu,
Na kama tatizo ni kuhofia kujulikana kirahisi nataka nikwambie kuwa be real and be confident, amini na simamia kitu real, usimuogope binadamu ila muheshimu,
Wa kuogopwa ni Mungu pekee, muogope na kumuheshimu,
Ungesindikiza uzi wako na avatar yako halisi basi ingekuwa na mantiki...
Weka avatar yenye sura yako halisi au edit uzi wako uusindike na picha yako halisi kisha tuendelee kujadili hoja yako...
Otherwise huu uzi ni kama takataka tu!
 
Back
Top Bottom