Kama kichwa cha habari kinavyo sema, I bet zadi ya members 97% humu ndani awajaweka na awataki kuweka avatar halisi humu, tatizo ni nini wana JF, naombeni mitazamo yenu,
Na kama tatizo ni kuhofia kujulikana kirahisi nataka nikwambie kuwa be real and be confident, amini na simamia kitu real, usimuogope binadamu ila muheshimu,
Wa kuogopwa ni Mungu pekee, muogope na kumuheshimu,