Kwa nini wanadamu wamejiumbia miungu??

Kwa nini wanadamu wamejiumbia miungu??

Nouma sana
Akili za binadamu zina imaginations za ajabu kabisa. Ikifika ukomo wa maarifa akili inabuni njia mbadala wa kujifariji. Mara kuna jehanamu,kuna mapepo,kuna shetani, kuna mbinguni/paradise.........kaaazi kwelikweli,
 
Back
Top Bottom