Kama mtu ni mwanasheria binafsi(sio wa serikali) kwa mfano unajua kabisa mteja wako ni mfanyabiashara wa dawa za kulevya, fisadi, muuaji n.k kwa nini unampa huduma ya uwakili kama wewe sio mtu muovu pia?
Huwa inakuwa kwa sababu ya pesa au kitu gani?
Leo sio kuzuia kwamba hajaenda kosa, Bali Wakili ni kuhakikisha maamuzi yatakayofanyika yawe yamezungatia Haki, Sheria zilizopo na miongozo mingine.Kama mtu ni mwanasheria binafsi(sio wa serikali) kwa mfano unajua kabisa mteja wako ni mfanyabiashara wa dawa za kulevya, fisadi, muuaji n.k kwa nini unampa huduma ya uwakili kama wewe sio mtu muovu pia?
Huwa inakuwa kwa sababu ya pesa au kitu gani?
Kwa nini wasaidie hukumu isiwe kubwa kama ni mhalifu au muovu mkubwa?Ukiacha kuwa ni wajibu wao.
Ila practice ya uwakili ni namna ya kuweka uwiano wa kisheria na kumweka mshtakiwa atambue haki zake hata kama ni mkosaji.
Kwahiyo watakuelekeza ABC za Sheria na kupambana hukumu isiwe kubwa na ifuate utaratibu rasmi.
Kazi ile shekheee..Kama mtu ni mwanasheria binafsi(sio wa serikali) kwa mfano unajua kabisa mteja wako ni mfanyabiashara wa dawa za kulevya, fisadi, muuaji n.k kwa nini unampa huduma ya uwakili kama wewe sio mtu muovu pia?
Huwa inakuwa kwa sababu ya pesa au kitu gani?
Kwa nini wasaidie hukumu isiwe kubwa kama ni mhalifu au muovu mkubwa?
Kwa nini wasaidie hukumu isiwe kubwa kama ni mhalifu au muovu mkubwa?
Kazi gani ni nyepesi mkuu?Kazi ya uwanasheria ni ngumu sana
Mkuu tunatakiwa tuishi kwa sheria tulizo jiwekea, Usipo kua na wakili mzuri unaweza kuta kesi ya kufungwa miaka 3 ukagongwa 15.
Ndo maana wale jamaa waliomla.. binti wa yombo dovya nao walikua na mawakili, Ili wahukumiwe kwa haki sawa na makosa yao.
Wanawatetea kwasababu watuhumiwa pia wana haki zao, kama ilivyo kwa wafungwa.
Kwanini hutaki watuhumiwa watetewe, huziamini sheria za nchi au huwaamini mawakili wa serikali?
Navyojua sheria ina "matundu flani" wakili akijua kuyatumia, basi huyo unayemuita mwenye kosa anakuwa innocent.
Siku yatakufika wewe kwa kesi maybe ya kusingiziwa, ndio utajua umuhimu wa advocate ili kuuweka wazi huo uongo wa jamuhuri au wa aliyekusingizia...Kama mtu ni mwanasheria binafsi(sio wa serikali) kwa mfano unajua kabisa mteja wako ni mfanyabiashara wa dawa za kulevya, fisadi, muuaji n.k kwa nini unampa huduma ya uwakili kama wewe sio mtu muovu pia?
Huwa inakuwa kwa sababu ya pesa au kitu gani?