Kwa nini wanasheria huwa wanatetea watu waovu?

Kwa nini wanasheria huwa wanatetea watu waovu?

Siku niliposikia wakili anaita anayemhudumia Mteja nikajua kwisha habari yetu

Yaani wakili ni mfanya biashara wa haki..! 👐

Haki ni biashara..!

Umagharibi unatuvua nguo mandezi duniani

Mtu ana Dai lake nyeti linalomkosesha amani ili ajipate unapaswa apewe haki yake kwa mujibu wa katiba nyie mnafanya biashara kwenye maisha ya watu.! 🤭
 
Back
Top Bottom