Siku niliposikia wakili anaita anayemhudumia Mteja nikajua kwisha habari yetu
Yaani wakili ni mfanya biashara wa haki..! 👐
Haki ni biashara..!
Umagharibi unatuvua nguo mandezi duniani
Mtu ana Dai lake nyeti linalomkosesha amani ili ajipate unapaswa apewe haki yake kwa mujibu wa katiba nyie mnafanya biashara kwenye maisha ya watu.! 🤭