Kwa nini wanashindwa kuongea live?

Girlie Girlie

Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
87
Reaction score
4
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?
 
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?

Nyuma ya hiyo kuna uongo mkubwa tuu. Anachokuandikia kinatokana na tamaa na wala hakuna upendo wowote
 
Anashindwa kupangilia maneno.
Uso umeumbwa na haya g g.
 
Si lakini Ujumbe unafika... ?
Probably na Kibuti cha SMS hakiumi Sana...
Just Thinking Aloud I Might be Wrong
 
uoga wa ku-face reaction yako,hajui itakuwaje???:wink2:
 
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?
michelle, ni wachache sana wanafanya hivyo..labda hao wa chapchap..mimi kwa upande wangu, enzi zangu, nikikuzimia tu, sitaki kupata shida, nakuja tu laivu nakwambia kuwa nimekuzimia na ninataka either kukuoa au ...chochote...tena nakuangalia macho makavuu usoni bila wasiwasi..ukinikatalia mbona wanawake wengi tu mtaani, naenda kwa mwingine....ukiona mtu anazugazuga, sijui ni wa namna gani.
 
Unatuchanganya mimi na Girlie,nimeona hata kule kwenye thread ya Unafanyaje uki-mmiss umpendaye umenichanganya nae....please,kuwa makini na hilo.....
 
Wanaume wanatofautiana wenyewe kwa wenyewe, si jambo la ajabu, lkn kama unaelewa linalomsumbua huyo zipo njia za kumsaidia za kumpatia uhuru wa kuzungumza na akigundua umempa uhuru hapo hataona tabu kuongea na wewe.
 
Unatuchanganya mimi na Girlie,nimeona hata kule kwenye thread ya Unafanyaje uki-mmiss umpendaye umenichanganya nae....please,kuwa makini na hilo.....

Mmh usikute anaona mnafanana!
 
Unapenda kutamkiwa live? Vizuri sana. Ila inaonyesha huwa unamuangalia sana machoni wakati mnaongea
 
lazima kumtazama machoni kuona kama unadanganya.
tatizo la wakaka macho yenu mnakodolea kifuani tu!

Duh kifua chako lazima kitakuwa very unique..
binafsi huwa napenda kuwangalia watu usoni, alafu kuangalia sio Ku-stare, sababu kuna mtu ana-stare mpaka unashangaa
 
lazima kumtazama machoni kuona kama unadanganya.
tatizo la wakaka macho yenu mnakodolea kifuani tu!

kama asemavyo VOR, yawezekana kifua unakiachia ama kina majaliwa. Ni hapo utakapoanza kumkwepa macho wewe akishadonoa
 
Yaani huyo anayetuma sms ndo yuko serious kiasi kwamba anashindwa hata kusema live, si unajua tena ukipenda kabisa hata maneno hayatoki
 
lazima kumtazama machoni kuona kama unadanganya.
tatizo la wakaka macho yenu mnakodolea kifuani tu!

Kuna wadada wanaachia vifua kiasi kwamba hadi unakuwa embarrassed kuwa naye mahali pa heshima au hata kuongea naye inakubidi usiwe unamface kwa sababu ni vigumu kuangalia usoni bila kuona kifuani
 
usijichanganye si MICHELLE ni GIRLlie
 
No, mwanaume kamili lazima uwe tayari kum-face mwanamke live na kumweleza kilichomo moyoni. Mambo ya kuzungukazunguka yanaumiza moyo bila sababu ya msingi. Wanaoona aibu wanakuwa bado hawajakamilika. Sifa mojawapo ya kiume ni guts, courage, n.k. Kama huna hizo basi kuna jambo siyo la kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…