Girlie Girlie
Member
- Feb 19, 2011
- 87
- 4
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?
Si lakini Ujumbe unafika... ?
Probably na Kibuti cha SMS hakiumi Sana...
michelle, ni wachache sana wanafanya hivyo..labda hao wa chapchap..mimi kwa upande wangu, enzi zangu, nikikuzimia tu, sitaki kupata shida, nakuja tu laivu nakwambia kuwa nimekuzimia na ninataka either kukuoa au ...chochote...tena nakuangalia macho makavuu usoni bila wasiwasi..ukinikatalia mbona wanawake wengi tu mtaani, naenda kwa mwingine....ukiona mtu anazugazuga, sijui ni wa namna gani.Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?
Kibuti cha sms hakifai, huwezi hata kumbembeleza.......
michelle, ni wachache sana wanafanya hivyo..labda hao wa chapchap..mimi kwa upande wangu, enzi zangu, nikikuzimia tu, sitaki kupata shida, nakuja tu laivu nakwambia kuwa nimekuzimia na ninataka either kukuoa au ...chochote...tena nakuangalia macho makavuu usoni bila wasiwasi..ukinikatalia mbona wanawake wengi tu mtaani, naenda kwa mwingine....ukiona mtu anazugazuga, sijui ni wa namna gani.
Unatuchanganya mimi na Girlie,nimeona hata kule kwenye thread ya Unafanyaje uki-mmiss umpendaye umenichanganya nae....please,kuwa makini na hilo.....
Unapenda kutamkiwa live? Vizuri sana. Ila inaonyesha huwa unamuangalia sana machoni wakati mnaongea
lazima kumtazama machoni kuona kama unadanganya.
tatizo la wakaka macho yenu mnakodolea kifuani tu!