Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Tunapenda kulelewa kitoto toto.
Jamani baby wangu....
Nimewajibia tu. Ngoja waje.
My Girlfriend call me baby too. she has never called me by name.
Upo sahihi kabisa, vitu kama pipi ndiyo zenu na mwili utafumuka mpaka basi!
Tunawaita watoto kwa sababu ya nature yao ya kupenda kudanganywa na kubembelezwa. Mwanamke ni mwanamke tu hata awe na cheo gani unaweza ukamdanganya kwa ahadi za kununua ndege na au ukampatia pepe akaingia line. Hata ukimkorofisha anabembelezeka haraka sana na ukiomba mchezo unapata wakati huo huo.
akaaa.
Hatuli Pipi tutaoza meno.
hapo inategemea na timing yenyeweUmenichekesha sana maana niko kwenye mkutano hapa msichana anamwita hus wake Baby mzee mmoja akawa very shocked what?? Najua wewe huna mtoto sasa baby gani huyo unamwita baby?? Akamwambia eti my huby mzee kachoka akamwuliza sasa ukizaa utawaita wote baby baba na mtoto??? You made my day kama uliuwepo au ndo wewe nini?? Maana hii thread kama kuna muhusika mmoja alikuwepo tukidiscus
mmhHusninyo
Pipi hailiwi, bali inamung'unywa tu.
Preta acha ukali mwayaweeee.....chezea.....sio wote tupo hivyo.....lianzishe uone kilichomtoa kanga manyoya ya kiuno
Hilo nalo neno.kuna brother namfahamu ana magf kama 4 wote anawaita baby isipokuwa wife wake. Ohoo! Ladies kwa baadhi ya wanaume ni njia ya kutozoea jina lako asije akalitaja akiwa na mwingine. Msidanganyike.