Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani kaswali kadogo ka kizushi tu lakini kanasumbua ubongo kwelikweli. Hivi ni kwa nini wanaume hupenda kumwita mwanamke au msichana "baby" au "mtoto". Tafadhali wajuzi wa haya masuala watujuze.
Husninyo
Pipi hailiwi, bali inamung'unywa tu.
Jamani kaswali kadogo ka kizushi tu lakini kanasumbua ubongo kwelikweli. Hivi ni kwa nini wanaume hupenda kumwita mwanamke au msichana "baby" au "mtoto". Tafadhali wajuzi wa haya masuala watujuze.
Umenichekesha sana maana niko kwenye mkutano hapa msichana anamwita hus wake Baby mzee mmoja akawa very shocked what?? Najua wewe huna mtoto sasa baby gani huyo unamwita baby?? Akamwambia eti my huby mzee kachoka akamwuliza sasa ukizaa utawaita wote baby baba na mtoto??? You made my day kama uliuwepo au ndo wewe nini?? Maana hii thread kama kuna muhusika mmoja alikuwepo tukidiscus
Jamani kaswali kadogo ka kizushi tu lakini kanasumbua ubongo kwelikweli. Hivi ni kwa nini wanaume hupenda kumwita mwanamke au msichana "baby" au "mtoto". Tafadhali wajuzi wa haya masuala watujuze.
weeee.....chezea.....sio wote tupo hivyo.....lianzishe uone kilichomtoa kanga manyoya ya kiuno
Hakuna jipya chini ya jua yote 2nayoyaona yalikuwepo.huo ni ukiritimba na uzungunaization 2 hakuna ki2 mwisho wa cku hotockia baby wala mamaa unajua kuibiwa c mpaka wavunje mlango na bunduki juu.mtazamo wangu japo c lazima muufate ni Unamuita demu wako mamaa,baby ni kumtapeli mwenzio waziwazi na wewe unaekubali kuitwa hvyo ni mjinga muone kwanza baby baby alaa!ningekua kifimbo cheza nyie wote mnaotumia majina hayo ningewachezesha.
HIVI UNASHINDWA KUMPENDA MUNGU WAKO ANAEKUPA UHAI UNAMPENDA MTU ULIEKUTANA NAE TU?
halla.....mzima wewe