Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani kwa nia njema tu, niko nafanya kama kautafiti kujua kwa nini wanaume wanapenda kutoka nje ya ndoa!Na je mtazamo wa jamii kama mume na mke wakitoka nje ya ndoa unafanana au ni tofauti? please colleagues naomba mchango wa mawazo yenu!
Uzinzi tu, hamna lolote!
mmmmmmhhhhh sikuhizi kunongoneka ni ujinga?Ujinga, ushamba na uwezo mdogo wa kutawala tamaa zao! Wanavitii sana viungo vyao vya uzazi kwa maana nyingine wanaongozwa navyo!
Uzinzi tu, hamna lolote!
mwono wangu ni kuwa mjadala unaohusu cheating humu jf huwa umejaa unafiki,hatuwi wakweli na kukiri kuwa there is a lot of cheating katika married couples na members wa jf are no angels!