kwa nini wanaume....

kwa nini wanaume....

...lol,..hata mimi sikubali kiurahisi namna hiyo,...[inategemeana na kosa]...kama umeona nimekosea nambie nikuelewe kwanini unaamini nimekosea, otherwise ukiwa ni mwepesi wa kujenga hoja, utabakia na msimamo wako nami nitabakia na wangu...

Mbu kuna wanaume wengine wanawake kwao huwa always 'hawana' hoja. Hata uijenge vipi katu haitojengeka.....ndio zile za ahhhh utanambia nini mimi wewe?? ni hivyo videgree vyako vya makaratasi ambavyo any Tom Dick and Harry can have them au degree za nguo za ndani/upendeleo?? Kisa yeye ana degree ya Engineering, MBA and other hard science na wewe mke una shahada yako ya ualimu au mambo ya jamii! ....ndio maana nikasema kuna time na time kama wewe mke unataka degree yako ya the so called 'soft science' isikike na ionekane ina 'akili' basi do the timing!!. Otherwise ukiwa unataka kuingiza habari za Emile Durkheim au Max Weber wakati mwenzio ndo anapaisha principles za Speed and Velocity, mambo ya Archimedes Principles sijui Newton's Law of motion makitu gani sijui ..hamtakaa mkubaliane na mtaishia Mbu ana mtazamo wake na MJ1 ana wake juu ya jambo moja ambalo mmoja amekubali kujishusha (most of the time ni MJ1) ili tu kuwe na amani na maisha yaendelee.

Hah.............. ninazo kumbukumbu nyingi tu za haya mabishano ya hivi tena siku nyingine ni over very silly things hadi leo nikikumbuka naishia kucheka. Sometimes nawaonea wivu walioolewa na waume wenye kukubali kushindwa kirahisi but sometuimes nahisi kama ningeboreka maana maisha bila challenges yanabore.

Ninakiri kuwa hakuwa perfect (no one is); he took me for granted (hili sikumsamehe) alininyanyasa (hili simsamehi) lakini ninamshukuru kwani bila yeye nisinge 'kua' kimapenzi na mahusiano..I was so naive. .....yeye ndo kaniweka kwenye mwanga!!! ninampenda kwa hili tu na zawadi ya mtoto mzuri aliyonipatia...........si zaidi ya hapo.

eh leo mmenifungua!! Wewe Nailyne itabidi unipe chupa ya bia maana hapa ni kama vile ninatoa damu kwa Red Cross nahitaji fidia ya damu nirudishe nguvu. hahahah
 
nimekuelewa there so many factors behind this issues, na inaweza kuwa ni uoga wa wanaume kuamini akikubali kosa mkewe atamuonaje?atamsimanga? Au ndo ataibua mgogoro mwingine

hasa hilo la kuibua migogoro mingine ndo zaidi..au kulipiziana...
 
...dahhh, umeniambia kwa lugha "laini" mwenyewe nimeelewa...
---it is not what you say, it is how you say it---...ndiyo inayo apply kwangu.
Soulmate unadhani hiyo inagomba?? issue ni je How I say it to you, is it the same way you say it to me pindi nikukoseapo? au wewe kwako ni sawa kuanza na we mwanamke, una matatizo gani, nilijua tu bla bla............! na MJ1 anatakiwa always kuanza na Mpenzi, hun, darling??

Nina ushuhuda wa Matron wangu, yeye alikuwa anadhalilishwa mpaka kwenye Bar......! we mwanamke huna akili hata moja (mbele ya friends!) sikuwa namwelewe alipokuwa anakaa kimya............but nilimwelewa siku alipopelekewa mashtaka yangu akaniita na kuanza kunipa kitchen party ya pili!!!..........mpaka leo nikikutana naye huwa ananiambia natamani ningekuwa jasiri kama wewe.......life has been bitter for her despite her calmness (lol kuna siku alinambia anaogopa kuitwa mwanamke mpumbavu aloibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe!!).
 
Mwanaume huwezi kuwa mwepec kiivo, na c kwenye mausiano tu. Jiulize kwa nn GADAF hataki kung'oka sababu n mwanaume. Angekuwa mwanamke siku mingi ashang'oka.
 
Mbu kuna wanaume wengine wanawake kwao huwa always 'hawana' hoja. Hata uijenge vipi katu haitojengeka.....ndio zile za ahhhh utanambia nini mimi wewe?? ni hivyo videgree vyako vya makaratasi ambavyo any Tom Dick and Harry can have them au degree za nguo za ndani/upendeleo?? Kisa yeye ana degree ya Engineering, MBA and other hard science na wewe mke una shahada yako ya ualimu au mambo ya jamii! ....ndio maana nikasema kuna time na time kama wewe mke unataka degree yako ya the so called 'soft science' isikike na ionekane ina 'akili' basi do the timing!!. Otherwise ukiwa unataka kuingiza habari za Emile Durkheim au Max Weber wakati mwenzio ndo anapaisha principles za Speed and Velocity, mambo ya Archimedes Principles sijui Newton's Law of motion makitu gani sijui ..hamtakaa mkubaliane na mtaishia Mbu ana mtazamo wake na MJ1 ana wake juu ya jambo moja ambalo mmoja amekubali kujishusha (most of the time ni MJ1) ili tu kuwe na amani na maisha yaendelee.

Hah.............. ninazo kumbukumbu nyingi tu za haya mabishano ya hivi tena siku nyingine ni over very silly things hadi leo nikikumbuka naishia kucheka. Sometimes nawaonea wivu walioolewa na waume wenye kukubali kushindwa kirahisi but sometuimes nahisi kama ningeboreka maana maisha bila challenges yanabore.

Ninakiri kuwa hakuwa perfect (no one is); he took me for granted (hili sikumsamehe) alininyanyasa (hili simsamehi) lakini ninamshukuru kwani bila yeye nisinge 'kua' kimapenzi na mahusiano..I was so naive. .....yeye ndo kaniweka kwenye mwanga!!! ninampenda kwa hili tu na zawadi ya mtoto mzuri aliyonipatia...........si zaidi ya hapo.

eh leo mmenifungua!! Wewe Nailyne itabidi unipe chupa ya bia maana hapa ni kama vile ninatoa damu kwa Red Cross nahitaji fidia ya damu nirudishe nguvu. hahahah

u nailed it MJ1..,nikiongeza ntaharibu, hapo kwenye rangi hapo, nimesikita sana (taking others for granted nachukia hii kitu!!!) but thanks God kuna vitu umelearn out of it,may be it was meant that way, u go astray before you go to the right way n may be ulikuwa unaandaliwa so that when u meet the right one u knw how to treat him right..,
about bia usijali ntaguazia hata creti zima mpnz unywe taratibu niPM adress yako tu zikufikie atakaposema.. lol...
 
Ni kwa baadhi ya wanaume hasa illiteracy. Wanakumbatia mfumo dume.
 
Soulmate unadhani hiyo inagomba?? issue ni je How I say it to you, is it the same way you say it to me pindi nikukoseapo? au wewe kwako ni sawa kuanza na we mwanamke, una matatizo gani, nilijua tu bla bla............! na MJ1 anatakiwa always kuanza na Mpenzi, hun, darling??

Nina ushuhuda wa Matron wangu, yeye alikuwa anadhalilishwa mpaka kwenye Bar......! we mwanamke huna akili hata moja (mbele ya friends!) sikuwa namwelewe alipokuwa anakaa kimya............but nilimwelewa siku alipopelekewa mashtaka yangu akaniita na kuanza kunipa kitchen party ya pili!!!..........mpaka leo nikikutana naye huwa ananiambia natamani ningekuwa jasiri kama wewe.......life has been bitter for her despite her calmness (lol kuna siku alinambia anaogopa kuitwa mwanamke mpumbavu aloibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe!!).

...mnh, ile post yako ya juu ndio nini sasa kutuwekea usiku huu bana? usingizi wote umeniruka...
mwj1, kuhusu hilo la what and how you say it... mara ngapi nimekuwa nakukumbushia umuhimu wake?
ukishakumbuka mara ngapi, utaelewa umuhimu ninaotoa juu ya lugha rahisi kufikishia ujumbe...

unaweza kuambiwa "Go to hell!" so diplomatically mpaka mwenyewe unatafuta swimming costume tayari kwenda ku enjoy huko hell!
lakini, kwenye mahusiano kuna ups and downs.... sio kila wakati akili na sikio litataka kusikia mazuri pekee...kuna zile siku za 'mbung'o' wengi yaani hata darling utaiona ni mzigo kuisikia.....----the best remedy ni ustahmilivu, kuvumiliana, kusameheana, na kuelewana kwamba mwenzio inapotokea amekukaripia sababu ya kutofautiana msimamo haina maana hakupendi, au anakudharau.... ni kwamba amezidiwa kwa nguvu za hoja, sasa anajaribu kutumia hoja za nguvu... 'ndivyo alivyokuzwa huko kwa wazazi'we!'
 
hili suala halina shule mkuu, tena hao wenye madegree ndio kabisaaaa wanaongoza kwa migororo hiyo coz wanaamini hawakosei na usomi wao
 
Soulmate unadhani hiyo inagomba?? issue ni je How I say it to you, is it the same way you say it to me pindi nikukoseapo? au wewe kwako ni sawa kuanza na we mwanamke, una matatizo gani, nilijua tu bla bla............! na MJ1 anatakiwa always kuanza na Mpenzi, hun, darling??

Nina ushuhuda wa Matron wangu, yeye alikuwa anadhalilishwa mpaka kwenye Bar......! we mwanamke huna akili hata moja (mbele ya friends!) sikuwa namwelewe alipokuwa anakaa kimya............but nilimwelewa siku alipopelekewa mashtaka yangu akaniita na kuanza kunipa kitchen party ya pili!!!..........mpaka leo nikikutana naye huwa ananiambia natamani ningekuwa jasiri kama wewe.......life has been bitter for her despite her calmness (lol kuna siku alinambia anaogopa kuitwa mwanamke mpumbavu aloibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe!!).

wanawake tumeumbwa kuwa na uvumilivu kwa kweli, wako wengi wa aina yake ambao wapo kwenye mahusiano ya kudhalilishana na inawabidi kuvumilia kulinda ndoa, ingawa ndoa za namna hii huwa zipo zipo tu bora liende.
 
...mnh, ile post yako ya juu ndio nini sasa kutuwekea usiku huu bana? usingizi wote umeniruka...
mwj1, kuhusu hilo la what and how you say it... mara ngapi nimekuwa nakukumbushia umuhimu wake?
ukishakumbuka mara ngapi, utaelewa umuhimu ninaotoa juu ya lugha rahisi kufikishia ujumbe...

unaweza kuambiwa "Go to hell!" so diplomatically mpaka mwenyewe unatafuta swimming costume tayari kwenda ku enjoy huko hell!
lakini, kwenye mahusiano kuna ups and downs.... sio kila wakati akili na sikio litataka kusikia mazuri pekee...kuna zile siku za 'mbung'o' wengi yaani hata darling utaiona ni mzigo kuisikia.....----the best remedy ni ustahmilivu, kuvumiliana, kusameheana, na kuelewana kwamba mwenzio inapotokea amekukaripia sababu ya kutofautiana msimamo haina maana hakupendi, au anakudharau.... ni kwamba amezidiwa kwa nguvu za hoja, sasa anajaribu kutumia hoja za nguvu... 'ndivyo alivyokuzwa huko kwa wazazi'we!'

MBu hii shule yako hii ita rescue mahusiano/ndoa nyingi sana big up sana.., nakubaliana na wewe ni kuvumiliana na kusameheana ndio kuna linda ndoa lakini jee mwanamke akiona akizidiwa nguvu za hoja ni sahihi kwake pia kutumia hoja za nguvu? asume mkeo aanze kukukashfu bz kwa kuhitilafiana kidogo, Mkuu hauta mchapa kweli? mi naona hii hoja za nguvu huwa naona ipo upande mmoja tu kwa mwanaume, mwanamke ukishaona mwanaume anatumia hoja za nguvu funga mdomo ukishindwa kunywa maji isiyameze coz mkiendelea kujibizana hapo ni balaaa.
 
Mwanaume huwezi kuwa mwepec kiivo, na c kwenye mausiano tu. Jiulize kwa nn GADAF hataki kung'oka sababu n mwanaume. Angekuwa mwanamke siku mingi ashang'oka.

si umeona lakini walipoifikisha libya right now? Gadafi angekubali mazungumzo na waasi hiyo nchi isingekuwa mikononi mwa west countries right nw, hiki kipindi cha serikali ya mpito wataibiwa mafuta hadi wajute , inshort arrogancy ya Gadafi imewanufaisha mataifa ya ulaya na kuirudisha Libya kimaendeleo, sometimes kukubali makosa uliyofanya kunatoa mwanya wa kuboresha kile kilichopo!
 
yaani sijui niseme vipi unielewe...
Sometimes wanakosea tu
but sometimes wanawake,baadhi huwafanya wanaume waliokosea na kukiri kujutia uamuzi wa kukiri...
Inakuwa hayaishi...unakumbushiwa kila siku....

The boss ni kweli kabisa kuwa sometimes na pengine wanawake wengine wameumbwa hivyo.........gubu. Yaani mumewe akikosea na kukiri ndo inakuwa kama sala ya baba yetu ndani ya nyumba............ akikohoa kidogo utasikia sishangai ndio maana siku ile., akipitiwa kidogo utasikia, siku ile..ili mradi mume tena anaona ohoooooo kumbe nilikosea kukiri!

Ni kweli kabisa ulisemalo.
 
No Nailyne.. akikosea mwanaume sio kwamba ni dhaifu (in fact ni wakosaji wakubwa saaana) ila tu hivo ndio walikua programmed... With time mambo yanabadilika taratibu for kuna changes nyingi saana katika jamii dhidi ya mahusiano kati ya wanaume na wanawake... Hivo basi saizi idadi ya kuomba msamaha walau ni kubwa ukilinganisha na enzi za baba/babu zetu.... Mwingine kuweza anasema kwa kidhungu... "I am Sorry" na kukwepa sema "Nimekosa" kwa ile tu anaona kama kwa kiswahili ina uzito zaidi (observe this)
Da Asha wewe ni jiniaz, hapo nilipoweka bluu ndivyo hasa ninavyofanya. Kusema ukweli sijawahi kusema samahani mpenzi nimekosa, mara zote huwa nasema "I am sorry" na sijawahi kufikiri kwamba ni kwa sababu kusema kwa kiswahili ninaona ina uzito zaidi lakini baada ya kusoma comment yako na kutafakari nimegundua kwamba unachosema ni sahihi kabisa na ninaamini itahitaji zaidi ya mbembelezo kusema nimekosa kwa mwanamke. Sina hakika sana lakin nadhani movies pia zinachangia yaani ni kama vile "I am sorry" is something so natural
 
si umeona lakini walipoifikisha libya right now? Gadafi angekubali mazungumzo na waasi hiyo nchi isingekuwa mikononi mwa west countries right nw, hiki kipindi cha serikali ya mpito wataibiwa mafuta hadi wajute , inshort arrogancy ya Gadafi imewanufaisha mataifa ya ulaya na kuirudisha Libya kimaendeleo, sometimes kukubali makosa uliyofanya kunatoa mwanya wa kuboresha kile kilichopo!
Tukianza hii ya Gaddafi tutaharibu mada, kwa sababu sio rahisi sana kama inavyoonekana. Hebu tubaki hapa kwenye kuombana misamaha.
 
Back
Top Bottom