kwa nini wanawake hamtuamini kiasi hiki?

kwa nini wanawake hamtuamini kiasi hiki?

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
Hata kama ni wivu but this is too much kwa kweli!
 

Attachments

  • Wivu.jpg
    Wivu.jpg
    20.2 KB · Views: 233
huyo mwanaume kashika nini kwani!!!!!

kalio la huyo bidada au!!!!!!

abiria chunga mzigo wako,hili linahusika hapo
 
na huyo bi harusi kilichomfanya ageuke nyuma wakati anajua wanapigwa picha ni nini? Ndoa itamshinda mapema
 
Yaani uanze tu kumuamini mwanaume? Hata kama nimemzaa mie sithubutu! Nani anataka kufa kwa presha!
 
Hallo! mi ni mwanachama mpya humu, ninaitwa Hady, ninayofuraha kujiunga nanyi katika kujadiliana mambo mbalimbali ya kijamii, nawapenda nyote.
 
kweli kabisa ninyi wanaume macho yenu hayatulii, c wakuwaamini kabisa!!! hata mimi sitokaa nimwamini mwanaume yeyote.
 
Abiria chunga mzigo wako lkn wanaoongoza kwa kutokuamini ni wanaume. Mwanamke wara nyingi haulizi utambulisho wa majina uliyoweka kwenye cm yako lkn nyie lazima uulize hivi huyu ni nani vile. Back to topic kwanini huyo bwana harusi kaweka mkono pahala hapo nahisi hajatulia bwana ndio maana huyo bi dada kaegesha begi huenda anamjua bwana harusi vema.
 
No comment! Nicheke tuu.. Kwi! Kwi! Kwi! Hii thread kesho tupelekee jokes kule! Kwi! Kwi! Kwi! .........!
 
Hallo! mi ni mwanachama mpya humu, ninaitwa Hady, ninayofuraha kujiunga nanyi katika kujadiliana mambo mbalimbali ya kijamii, nawapenda nyote.

Mhhhh.....Unatupenda wote??????????? Karibu sana
 
Back
Top Bottom