Hahahahah Rose long time meeen. Sijakuona bab. Uko poa men?? Nimekusoma mkuu. Sasa hao wanamna hio wapo wengi tuuu siunakumbuka wengine waliendaga Tegeta kuhamisha watu wakauwawa? Ani PM tu, jioni namkutanisha naoujaelewwa nin na wewe?aya...ANAKUTAMAN...body km avatar yako zinamsumbua/anazpienda...
Afadhali.......ungesema shosti tungevunja undugu....Ndio safari iko pale pale, sijabdilika mkuu. Mazoezi ni sehemu ya maisha yangu nikiachaga naugua kabisa na nikienda hospital hawaoni ugonjwa. Ila napiga aerobics zaidi nisije onekana kama mlinzi. Halafu masharti hayo ya kupungua yameshinikizwa zaidi na AFRODENZI
Mmmhhhhkumbe wanisikilizaga..Kuanzia leo twakuwa tunaendaWote gym...Ndio safari iko pale pale, sijabdilika mkuu. Mazoezi ni sehemu ya maisha yangu nikiachaga naugua kabisa na nikienda hospital hawaoni ugonjwa. Ila napiga aerobics zaidi nisije onekana kama mlinzi. Halafu masharti hayo ya kupungua yameshinikizwa zaidi na AFRODENZI
Kumbe mnajuana humu!!!Mmmhhhhkumbe wanisikilizaga..Kuanzia leo twakuwa tunaendaWote gym...
hahahahahahahahahahah sawa bwana!Afadhali.......ungesema shosti tungevunja undugu....
Mmmhhhhbabu nawe unavituko..Ntakuletea ugoro baadaye ..Afadhali.......ungesema shosti tungevunja undugu....
Usi stuke sanaKujuana muhimu.Tutakujua na we pia ukipenda lolzKumbe mnajuana humu!!!
Hasa mida ya asubuhi ukiingia ofisini utasikia.....hiiiiii mambooo umependeza wigi lako umenunua wapi? Ilihali ukimwangalia hilo wigi ni kama helmet ya pikipiki ambayo no oversize. Na mwenyewe bila kujua anaanza kutoa location ya eneo alilonunua. Au nguo kavaa imembana na mtu mwenyewe ni mnene na umri haukubaliani na hizo nguo lakini anaambiwa leo umetoka bomba ile mbaya anaitikia asante hizi nimezishusa juzi tu!!! Mm natamani niwaambie ukweli umevaa kibody tight huku kitambi kinaanguka na michirizi ya michelini kwenye mbavu inaoneka, vaa kiafrica upendeze mavitenge makubwa yangekupendeza zaidi.....nk.
Aisee Nguli, ile safari yetu bado iko palepale?
BTW Avatar yako imekupendeza sana. Bado unapiga tizi pale MayFair?
Mmhhh mbona wasahau cha asubuhi Jamani.. vizuji kutoka jasho kabla Ya shower .. mhSana tuuu. Mwendo wa gym na jogging evening walk....
Umefurahi au umenuna?hahahahahahahahahahah sawa bwana!
Hebu harakisha fasta...usisahau na mkongojo wa kichina....usiopinsa.... sawa eh?Mmmhhhhbabu nawe unavituko..Ntakuletea ugoro baadaye ..
Afrodenzi, hebu mjibu huyu mtumishi wa MunguKumbe mnajuana humu!!!
Ewaaaaaa.... Thats my girl...mwambie masharti ya ukaguzi kwanzaUsi stuke sanaKujuana muhimu.Tutakujua na we pia ukipenda lolz
Karibu sana mkuu, mazoezi muhimu. Tukimaliza mazoezi tunaingia kaunta kupiga ulabuMayFair??? tukutane basi hahah!
Umm thanks but NO THANKS!Usi stuke sanaKujuana muhimu.Tutakujua na we pia ukipenda lolz
Hahahahaha lohhh
Umenichekesha kwa kweli..
Nabaki humu humu migodini
Staki kufanya kazi na wanawake wa
hivyo lohhhhh