Kwa nini wanawake huongopeana hivi?

Kwa nini wanawake huongopeana hivi?

ujaelewwa nin na wewe?aya...ANAKUTAMAN...body km avatar yako zinamsumbua/anazpienda...
Hahahahah Rose long time meeen. Sijakuona bab. Uko poa men?? Nimekusoma mkuu. Sasa hao wanamna hio wapo wengi tuuu siunakumbuka wengine waliendaga Tegeta kuhamisha watu wakauwawa? Ani PM tu, jioni namkutanisha nao
 
Ndio safari iko pale pale, sijabdilika mkuu. Mazoezi ni sehemu ya maisha yangu nikiachaga naugua kabisa na nikienda hospital hawaoni ugonjwa. Ila napiga aerobics zaidi nisije onekana kama mlinzi. Halafu masharti hayo ya kupungua yameshinikizwa zaidi na AFRODENZI
Afadhali.......ungesema shosti tungevunja undugu....
 
Ndio safari iko pale pale, sijabdilika mkuu. Mazoezi ni sehemu ya maisha yangu nikiachaga naugua kabisa na nikienda hospital hawaoni ugonjwa. Ila napiga aerobics zaidi nisije onekana kama mlinzi. Halafu masharti hayo ya kupungua yameshinikizwa zaidi na AFRODENZI
Mmmhhhhkumbe wanisikilizaga..Kuanzia leo twakuwa tunaendaWote gym...
 
Hata nyinyi wakaka kama unataka kumpata mwanamke kwa urahisi we msifie tu kila siku unayomwona, nywele zako nzuri, migii mizuri, sketi imekukaa vizuri!! You will tell me the results.

Women want to hear sweat words from men....
 
Hasa mida ya asubuhi ukiingia ofisini utasikia.....hiiiiii mambooo umependeza wigi lako umenunua wapi? Ilihali ukimwangalia hilo wigi ni kama helmet ya pikipiki ambayo no oversize. Na mwenyewe bila kujua anaanza kutoa location ya eneo alilonunua. Au nguo kavaa imembana na mtu mwenyewe ni mnene na umri haukubaliani na hizo nguo lakini anaambiwa leo umetoka bomba ile mbaya anaitikia asante hizi nimezishusa juzi tu!!! Mm natamani niwaambie ukweli umevaa kibody tight huku kitambi kinaanguka na michirizi ya michelini kwenye mbavu inaoneka, vaa kiafrica upendeze mavitenge makubwa yangekupendeza zaidi.....nk.

Kweli amemuingiza mkenge mwenzie!!..mtu anayekujali atakwambia ukweli mf. kuwa unapendeza sana na mawigi ila hiyo siyo saizi yako!!
Sasa huyo aliyevaa kituko anajiona kalipuka mbayaa, kumbe kinyume chake!!
 
Heh! Mtu ame2mia half an hour mbele ya kioo akajipa tiki amependeza mimi ndio nimkosoe ina huuu! Kwanza utamfanya akose amani kutwa nzima. Mimi sipendi wale wanaoweka ming'aro ya macho inayo-match na nguo hata kama ni blue,kijani aah! Ila sithubutu kuwakosoa kwa sababu napenda kufanya kazi kwenye harmonious environment.
 
hahahahahahahahahahah sawa bwana!
Umefurahi au umenuna?

Mmmhhhhbabu nawe unavituko..Ntakuletea ugoro baadaye ..
Hebu harakisha fasta...usisahau na mkongojo wa kichina....usiopinsa.... sawa eh?
Kumbe mnajuana humu!!!
Afrodenzi, hebu mjibu huyu mtumishi wa Mungu

Usi stuke sanaKujuana muhimu.Tutakujua na we pia ukipenda lolz
Ewaaaaaa.... Thats my girl...mwambie masharti ya ukaguzi kwanza

MayFair??? tukutane basi hahah!
Karibu sana mkuu, mazoezi muhimu. Tukimaliza mazoezi tunaingia kaunta kupiga ulabu
 
Hahahahaha! Una visa wewe, wigi kama helmet. Lol.
Kuna wengine wanapenda tu kusifiwa, acha tuwasifie maana hatupungukiwi chochote.
 
Hahahahaha lohhh
Umenichekesha kwa kweli..
Nabaki humu humu migodini
Staki kufanya kazi na wanawake wa
hivyo lohhhhh

nakubaliana na wewe! kuna vitu vitatutu migodini, kazi, pesa na ngono.
we pendeza hata ungekua ka malaika hutomzingua mtu, sanasabna ka
ni dem utakua unawaalika majamaa kwako.
 
Nguli umefanana na John Cena kweli dunia wawili wawili..
 
Back
Top Bottom