Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Wanawake wa karne hii sio wale wa zama za mama zetu ( Digital age Vs Analogue) ni wasomi, wana uelewa mkubwa ( Upeo wa kufikiri na kutafakari mambo mbali mbali) ni watafutaji wazuri wa maisha, wanajituma na mwishi wanajua mbinu nyingi kupambana na mfumo dume. Hivyo ni lazima Wanaume tuishi na kinamama kwa nidhamu na kuheshimiana na kushauriana, kutambua kama mke ni mwenzi wako katika maisha wala si mtumwa wako.

Simbamwene una akili, hongera kwa ufahamu ulio nao juu mwanamke na dunia tulio nayo sasa.

Baba Mngoni mama Chagga

@ NYC USA

Kwanini wanaume na wanawake wanaachana??
Swali lako Dena ni la msingi lakini kwa utamaduni wa Kiafrika ndoa inahusisha kuoa na kuolewa!Ndoa inapovunjika kunatokea kuachwa na kuacha!Mwanaume huacha na mwanamke huachwa!Hivyo basi mtoa mada nae ana hoja ya msingi kusema wanawake wanaachika!Kwanini useme wanawake peke yao na sio ndoa za siku hizi hazidumu???
Nimewahi sikia kuwa ndoa za watu wa pwani (samahani kwa waliokereka) ndio zisizodumu, na mwanamke kuolewa na kuachika kwao ndio sifa................
jamani ivi ilo tatizo linasababishwa na nini?
Nawasilisha.

"wanaachika" ??

kwa upeo wangu mdogo anayeachika ni yule aliyechoka/mwagwa kwenye uhusiano, regardless jinsia yake ni ipi, mwanamke baada ya makwazano mume anaweza kukuacha, na mwanaume baada ya makwazo mke anaweza kukuacha!!!!

back to the topic, sababu zaweza kuwa nyingi, mojawapo ni kutoridhika kwa wanaume au kukosa msimamo kwa mwanaume(i.e mwanaume kutokujua anachotaka maishani...)

tunaachana hatuachiki,

tukichoshwa na uchakachuaji wa mapenzi tunasepa tumechoka kuvumilia mateso

Hujakosea, sababu wanajuwa haki zao za ndoa. Ukiwaletea fyuku nyuku wanakitowa. Na pia uelewe, wengi wa watu wa pwani ni waIslaam, kwao kuachana ruksa. Halazimishwi mtu kubaki katika dhimma hata kama hakuna maelewano.