Kwa nini wanawake wa mjini huwa wanapenda kuvaa miwani oversize?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Huu mtindo wa kuvaa miwani mikubwa iliyopitiliza(oversize) kwa wanawake wengi wa mjini huwa una maana gani?

 
Kuficha makovu ya ngozi za sahvu zilizoharibiwa na mikorogo iliyodunda.

Pia kuficha macho yao ya kimalamalaya na utapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…