Kwa nini wanawake waliokwama kwenye mahusiano hupendelea kuweka dred?

Kwa nini wanawake waliokwama kwenye mahusiano hupendelea kuweka dred?

Ngoja waje...Ila hii inakaribia na ukweli kwa 75.85% kama wanabisha wabishe.. Ukikutana nao watano basi watatu wana mahusiano yenye migogoro tuu!!
 
68bf872e2e2c12e4abc52e0bb06b4350.jpg

sio kwa manywele haya, kwanza ifke mda watozwe kodi, mana hata zikishika moto inabd waite Fire
 
Nimejaribu kuwatafiti wadada kadhaa ambao mambo yao katika uhusiano hayako vizuri na wengi wao wamesuka vile vi dred...
Kuna siri gani nyuma ya hilo? Ni ile saikolojia ya kuwa am strong and I can move alone au vile vi dred viinapunguza machungu ya kutendwa?
View attachment 508584
Kama Kuna ka ukweli hapa ngoja tusubiri
 
Hii ni style ya nywele kama zingine.

Wengine wanasokota dreadlocks kwa sababu wamechoka mambo ya madawa. ...

Wengine issue za saloon kila mara zinachosha. .

Wengine wanapenda kuwa natural tuu.

Swali...

Je watoto wadogo waliosokotwa nao wana shida kwenye mahusiano?
 
Wengine hawapendi nywele za kondoo na maiti. Ni bora kuwa na nywele zako natural. Wenye dread wengi ni naturals..no too much make ups.
Huo utafiti wako sijui ni wa nchi gani.
 
Katika hili kuna kaukweli fulani ndani yake
mfao: kuna wadada wawili nasoma nao wananipaga stor zao kuwa wamevurugwaa..
Na wako na dread kichwani
 
Back
Top Bottom