Kwa nini wanawake wanafanana miandiko?

Kwa nini wanawake wanafanana miandiko?

Hiyo research sio ya kweli...!

Unafanya vipi comparison kwa watu 2 afu una generalize kwa watu zaidi ya bilion 4 duniani?
 
Kwa sababu, wote ni wanawake.
Kwa hiyo, mwandiko wa mwanamke unafanana na mwanamke mwenzake.
Just simple like that.
Wanaume,wote ni wanaume
je,kwanini wasifanane miandiko?
 
Mwandiko uliolazwa kwa nyuma (kina dada) na ule umelazwa kwa mbele (wanaume). Mi nadhani hili limekaa kisaikolojia zaidi. Yafaa kutafakari zaidi.
 
Hiyo research sio ya kweli...!

Unafanya vipi comparison kwa watu 2 afu una generalize kwa watu zaidi ya bilion 4 duniani?
Rudia kusoma Uzi nilioandika nilisema in most cases, au kaka huku experience hiki kitu Shuleni?
 
Wanawake ambao bado ni bikra miandiko yao ipo kama ya kiumr ila wakishavunjwa inakuwa kama ya kike sana
 
Back
Top Bottom