Kwa nini wanawake wanafanana miandiko?

Kwa nini wanawake wanafanana miandiko?

Kama ulibahatika kusoma shule za mchanganyikeni utagundua kwamba mara nyingi wanawake miandiko yao inafanana sana,tofauti kidogo na wanaume wanakuwa na handwritting tofauti tofauti.
Unaweza kutazama tu notes fulani ukajua either ni mwanaume au mwanamke kaandika.

Pia nadhani ulishakutana na mtu anasema fulani anaandika mwandiko wa kike!!
Chunguza ndugu zako wakike miandiko yao,au mkeo au hata rafiki wa kike utagundua kwa kiasi fulani wana fanana miandiko(in most cases).

Mfano mwandiko hapo chini nikiuliza ni jinsia gani kaandika wengi watasema ni msichana.

majibu-form4-jpg.84623

Na huu hapa mtasema ni mwanaume.

Harper-sig-660x412.jpg

Kwa nini iwe hivyo?
Wanajifunzia wapi?
Sasa kama uliweza kuclassify vizuri kabisa kua Au labda ni asili unataka ugunduzi wa kisayansi tena wa nini?au ni nini?
Kea nini wanawake kutembea wanafanana kutembea wana fanana, mambo yao yanafanana na hio Inamaanisha nini?
NAWASILISHA.
 
Somehow umeni convince halafu nahisi pia wanawake mambo yao ni ya kuremba sana,ukitizama viatu,nguo , n.k ni watu wanaopendelea kuremba vitu vyao nahisi labda hata miandiko yao wanaremba.
Nahisi hii miandiko inaelezea kitu Fulani amabacho ni halisi either tabia n.k.
Mzee wa kuisi
 
Sina hakika sana ila wanawake ni watu wenye tabia ya kuchekana sana kwenye mambo yao wanayoyafanya tofauti na wanaume,hivyo akiwa na hati ya mcharazo tena iliyolala wanamsema ana mwandiko wa kiume na kutokana na asili yao ya kupenda kusifiwa anakuwa hayuko sawa,hivyo atajitahidi sana kuhakikisha anakuwa na hati nzuri tena inayofanana na mwenzie anayesifiwa vizuri,lakini wakati mwingine wingi wa mambo mengi kichwani huwa inasababisha hati ya mtu kubadilika hata kama ilikuwa nzuri mfano madaktari,maprofesa,wakandarasi,wapigadili n.k.
 
Kwasbb wanawake wanafanana tabia. Kwahiyo ni rahisi.
Mkuu mm ni mtu wa fasihi kwahiyo umenipa wakati mgumu sana kwa ID yako. Mchicha pori unajua maana yake? Achana na maana ya msingi, nazungumzia maana ya ziada.
bangi
 
Huwa tunavuta na mke wako. Hata jana nilikua naye
Unaijua fasihi?
Kwa vile ww ni Bashite wala sikushangai. Pole sana
Nenda darasani ukasome upya.
Nani kakupa ruhusa ya kuniquote? Una quote watu ovyo angalia usije ukapata mi.......mb.....a halafu ukaanza kunilaumu
 
wewe jamaa ni mjinga sana,pole kwa wanaokuzunguka aisee!
 
Pole yako. Unajua maana ya mchicha pori. Au unaandika ili upate umaarufu kupitia mm? Mtoa uzi ameelewa nilichokiandika. Toa na ww uzi wako ili nije nikitoe povu.
Kawaulize walionda shule maana ya mchicha pori.
Kwann unatokwa na povu wakati jina si lako? Huo upuuzi ulioandika ilipaswa mtoa uzi aniulize.
Endelea kutafuta umaarufu kupitia watu. Ulienda shule kusomea ujinga. Hongera bashite mdogo. Ungekuwa umeenda shule hiv ni vitu vidogo sana.
Napata mashaka na elimu yako. Uliishia darasa la ngapi ww? Huku ni Jf na siyo Facebook.
Haujui maana ya mchicha pori unadandia watu tu na ww uonekane. Siyo lazima kila thread uchangie
 
wewe jamaa ni mjinga sana,pole kwa wanaokuzunguka aisee!
Siku nyingine unapo log in Jf angalia pa kuchangia. Mambo ya facebook yaache huko huko. Humu ni magreat thinker tu japo wenye upuuzi km ww wapo.
Tatizo uliishia form 4 na hayo ndiyo matokeo yake. Ungesoma angalau 6 wala usingepatwa na mashaka kuhusu neno mchicha pori.
Kila neno lina maana ya msingi na ya ziada. Ukiona mtu JF amechangia unakimbilia kumquote na ww uonekane.
Umaarufu hauji kupitia mtu.
PAMBANA NA HALI YAKO NA UACHE USENGEREMA
 
Miandiko Huwa Haifanani, Jaribu Kuchunguza Vzr Ila Art Zinafana. Ni Km Sauti, Ya Mwanamke Utaijua Tu Lkn C Kuwa Nazo Znafanana, Ndo Maana Wanawake Wengi Wanaimba Sauti Ya 1 Na 2 Wkt Wanaume Wengi 3 Au 4. Turudi Kwenye Mwandiko; Mwandiko Huja Kutokana Na Namna Unavyoikamata Kalamu, Aiadha Kwa Position Au Kwa Strength. Wanawake Wengi Hushika Karamu Sehemu Ya Chini Kabisa Au Kwa Nguvu Wkt Wanaume Juu Kidogo Au Sana Na Wengine Hulegeza Na Kuinamisha Peni Na Kulaza Mwandiko. Km Ilivo Kwa Sauti Kuna Wanawake Wanaoimba Bass, Pia Wapo Wanawake Wenye Art Ya Kiume. Pia Km Ilivo Kwa Wanaume Wenye Saut Ya Kike Pia Kuna Wanaume Wenye Art Ya Kike Ktk Kuandika.
 
Kama ulibahatika kusoma shule za mchanganyikeni utagundua kwamba mara nyingi wanawake miandiko yao inafanana sana,tofauti kidogo na wanaume wanakuwa na handwritting tofauti tofauti.
Unaweza kutazama tu notes fulani ukajua either ni mwanaume au mwanamke kaandika.

Pia nadhani ulishakutana na mtu anasema fulani anaandika mwandiko wa kike!!
Chunguza ndugu zako wakike miandiko yao,au mkeo au hata rafiki wa kike utagundua kwa kiasi fulani wana fanana miandiko(in most cases).

Mfano mwandiko hapo chini nikiuliza ni jinsia gani kaandika wengi watasema ni msichana.

majibu-form4-jpg.84623

Na huu hapa mtasema ni mwanaume.

Harper-sig-660x412.jpg

Kwa nini iwe hivyo?
Wanajifunzia wapi?
Au labda ni asili au ni nini?
Inamaanisha nini?
NAWASILISHA.

Miandiko ya watu wa mataifa ya magharibi ni gender-neutral. Pia sijawahi kuona mwandiko wa mwanamke mzungu unaofanana na miandiko iliyo mingi ya wanawake waswahili.

Huo mfano wa pili, kwa mfano, unaweza kuwa mwandiko wa mzungu wa kike au wa kiume.
 
Miandiko Huwa Haifanani, Jaribu Kuchunguza Vzr Ila Art Zinafana. Ni Km Sauti, Ya Mwanamke Utaijua Tu Lkn C Kuwa Nazo Znafanana, Ndo Maana Wanawake Wengi Wanaimba Sauti Ya 1 Na 2 Wkt Wanaume Wengi 3 Au 4. Turudi Kwenye Mwandiko; Mwandiko Huja Kutokana Na Namna Unavyoikamata Kalamu, Aiadha Kwa Position Au Kwa Strength. Wanawake Wengi Hushika Karamu Sehemu Ya Chini Kabisa Au Kwa Nguvu Wkt Wanaume Juu Kidogo Au Sana Na Wengine Hulegeza Na Kuinamisha Peni Na Kulaza Mwandiko. Km Ilivo Kwa Sauti Kuna Wanawake Wanaoimba Bass, Pia Wapo Wanawake Wenye Art Ya Kiume. Pia Km Ilivo Kwa Wanaume Wenye Saut Ya Kike Pia Kuna Wanaume Wenye Art Ya Kike Ktk Kuandika.
In most cases miandiko yao hufanana,sauti ni kimaumbile zaidi ila about handwriting ni Shuleni,that is why I was asking myself.
 
Miandiko ya watu wa mataifa ya magharibi ni gender-neutral. Pia sijawahi kuona mwandiko wa mwanamke mzungu unaofanana na miandiko iliyo mingi ya wanawake waswahili.

Huo mfano wa pili, kwa mfano, unaweza kuwa mwandiko wa mzungu wa kike au wa kiume.
Miandiko ya wazungu wa kike pia hufanana Kwa wao Kwa wao na inataka kuelekeana kwa mbali na ya wanawake wetu.
 
Miandiko Huwa Haifanani, Jaribu Kuchunguza Vzr Ila Art Zinafana. Ni Km Sauti, Ya Mwanamke Utaijua Tu Lkn C Kuwa Nazo Znafanana, Ndo Maana Wanawake Wengi Wanaimba Sauti Ya 1 Na 2 Wkt Wanaume Wengi 3 Au 4. Turudi Kwenye Mwandiko; Mwandiko Huja Kutokana Na Namna Unavyoikamata Kalamu, Aiadha Kwa Position Au Kwa Strength. Wanawake Wengi Hushika Karamu Sehemu Ya Chini Kabisa Au Kwa Nguvu Wkt Wanaume Juu Kidogo Au Sana Na Wengine Hulegeza Na Kuinamisha Peni Na Kulaza Mwandiko. Km Ilivo Kwa Sauti Kuna Wanawake Wanaoimba Bass, Pia Wapo Wanawake Wenye Art Ya Kiume. Pia Km Ilivo Kwa Wanaume Wenye Saut Ya Kike Pia Kuna Wanaume Wenye Art Ya Kike Ktk Kuandika.
And my point was tunatambua miandiko ya kike na kiume,Kwa nini tunatambua?
 
Miandiko ya wazungu wa kike pia hufanana Kwa wao Kwa wao na inataka kuelekeana kwa mbali na ya wanawake wetu.

Niliposema gender-neutral nilimaanisha hivyo; hakuna mwandiko wa mzungu mwanamke na mzungu mwanaume! Nimezungukwa na hawa watu.
 
Miandiko ya watu wa mataifa ya magharibi ni gender-neutral. Pia sijawahi kuona mwandiko wa mwanamke mzungu unaofanana na miandiko iliyo mingi ya wanawake waswahili.

Huo mfano wa pili, kwa mfano, unaweza kuwa mwandiko wa mzungu wa kike au wa kiume.
Sikubaliani na wewe wazungu hao hao walifanya research ya miandiko katika kutofautisha zaidi ya 65% watu walikuwa accurately kukisia either writer male or female.
Wewe ume experience hivyo wapi?in real life not movies.
 
Back
Top Bottom