kwa nini wanawake wengi ni rahisi kudanganyika?ukimwahidi gari ukamwanzishia driving school tayari!

MANGI1979

Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
42
Reaction score
4
akina dada zetu msikubali kudanganyika kirahisi hivyo nawapenda nyote nyinyi ndio mama zetu na ukipewa gari chukua na kadi yake litakuwa lako kweli bila kadi utakuwa umeazimwa
 
junior,

huko si kudanganyika ila ni kwamba wanawake wengi wanapenda maendeleo kwa haraka
 
akina dada zetu msikubali kudanganyika kirahisi hivyo nawapenda nyote nyinyi ndio mama zetu na ukipewa gari chukua na kadi yake litakuwa lako kweli bila kadi utakuwa umeazimwa

Kwani kadi ina jina lake? na akigushi sheria inamkamata
 
mwanamke mara nyingi hupenda kuabudu uongo kuliko ukweli. UKitaka kumpata kirahisi mdanganye tu utaona.
 
Hoja yako haijakaa sawa, inahitaji maelezo mengi sana ili kujieleza!
 
junior,

huko si kudanganyika ila ni kwamba wanawake wengi wanapenda maendeleo kwa haraka

na kwann na ww utumie silaha ya maangamizi ktk kumtongoza dada wa watu? silaha nyingine mbaya ni kujifanya unataka kumuoa na wakat mwingine unatoa na mahari kabisa. lo!!!
 
mhhhh wanawake bado siku hizi wanahongwa magari
 
Wengi wao wanapenda kutembea wakia wamekaa hilo ndo tatizo!

ww hupendi kua na gari (kutembea ukiwa umekaa)? siku ikupate shida au uwe na mzunguko mrefu na mda wako ni tight ndio utajua umuhim wa gari
 
kama una status fulan gari ni muhimu na si luxury, na ndio maana viongoz wetu wengi wa kisiasa au aliekua na status bidae akionekana kwenye public transport hua ni gumzo
 
Hehehe! Tukitaka na kadi wanakataa. Acha watuazime azime tu. Lol
 
ivi mwanaume ukimnunulia mwanamkw gari au nyumba bado utajiona mjanja?..huo ni upunguani na kupungukiwa uanaume..iyo pia ni dalili ya kuishiwa nguvu za kiume...nenda kavu kavu mwaga sera zako chukua kitu chako weka ndani....

wanawake wengi wameamka kwa sasa...wengi wanadrive magari yao na wanajiweza kiuchumi...hao wachache wanaodanganywa wamekosa mwelekeo wa kimaisha ndo mana wanapewa magari bila hata kadi!
 
nyakwaratony chukua gari kama unapenda likusaidie kufuata eiaraviis kwa urahisi kifaru wangu lakini ukishakuwa nalo ununue mninga kabisa uchonge koffin uweke store tusije pata shida kwenye budget ya mazishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…