kwa nini wanawake wengi ni rahisi kudanganyika?ukimwahidi gari ukamwanzishia driving school tayari!

kwa nini wanawake wengi ni rahisi kudanganyika?ukimwahidi gari ukamwanzishia driving school tayari!

Hus, yaani kuna mjamaa alinifungia bana....🙂 Asante kuniulizia. Hope wewe mzima.

Siku njema!

halafu limjamaa limekufungia wakati lenyewe lipo kwa ID nyingine(joke). Poa mpendwa, usipotee sana. Siku njema.
 
Hirizi za mjapani zitatuua wengi
MadameX nakutafuta kwa VOGUE la Kiingereza achana na mambo ya Wajapani lita moja kilometa 30. Tumia gari la Kimarekani/kiingereza lita 10 kilometa 1. Upo tayari nikuPM
 
Back
Top Bottom