BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Siku hizi hata wanaume nao wanapenda vya bure....!
tena wapo wengi sana, na wanajilengesha makusudi walelewe...wanaume walikuwepo zamani bwana siku hizi hakuna kitu lohh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi hata wanaume nao wanapenda vya bure....!
we huwa unapotelea wapi?
Hus, yaani kuna mjamaa alinifungia bana....🙂 Asante kuniulizia. Hope wewe mzima.
Siku njema!
MadameX nakutafuta kwa VOGUE la Kiingereza achana na mambo ya Wajapani lita moja kilometa 30. Tumia gari la Kimarekani/kiingereza lita 10 kilometa 1. Upo tayari nikuPMHirizi za mjapani zitatuua wengi