Kwa nini wanawake wengine wanawalea wanaume

kuna x'bf mmoja hata outings alizokuwa ananitoa mie naishia kulipia zote basi siku alinijia na hii kwa sms ''babes unaweza kuniboost shs. 50,000''. Nilimjibu nakusaidia hii tu ila don't make it a habit. mwenyewe akasign off uhusiano kumbe alizoea miteremko alipotoka baada ya kumfuatilia!!

Siku hizi kuna mengi maana kuna wengine tunashindana nao urembo na kina M.A.C sasa kwanini wasipende kulelewa.
 
Hamjasuguliwa nyie..!chezeya 'sambi' a.k.a mshedede, a.k.a mashine a.k.a rungu a.k.a mtarimbo a.k.a .....malizieni wenyewe
 
kila mtu na bahati yake
nahisi wanawake hao wanachanganyikiwa sana na hao jamaa so vijihela kwao sio issue hata kidogo issue ni jinsi hao jamaa wanavyo lamba hadi visivyo lambwa ( anagalizo usijaribu kulamba moto utaungua ulimi)
 

Hivi jamani unajisifia kujua kukuna unatembea kifua mbele alafu unaishia kupata wajane lazima ujiulize na ujiangalie mara mbili. Alafu ukiitaji hela unasemaje? Haloo baby nimeishiwa mfyuuuuuuuuuuuu. Na sisi wadada tujirekebishe tukitongozwa tunaringa tukizeeka tunaanza kuwafuga na kulipia service nyooooooooo.
 
Jamani suala la mwanaume kulelewa lina ubaya gani kama wamelidhiana. Mbona kuna mpaka Mitume walilipiwa mahari na wakalelewa leo tunawaheshimu na kuwaweka mbele kama mfano wa KUIGWA.Mie sioni ubaya wowote japo binafsi sipendi kulelewa.
 

wanaume kama mabinti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…