Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 989
Hivi ulishawahi kusikia mnyama akigua au kufa kwa ugonjwa wa moyo kama pressure?
Ninaposema mnyama nina maana asiye binadamu lakini ana moyo kama vile mbwa, ng'ombe, sokwe.
Sasa kama wanyama hawauugui ugonjwa huo wakati wana moyo unaodunda na kupitisha damu kwenye mishipa kama wa binadamu, kwa nini sasa ugonjwa huo ambao si wa kuambukiza uwapate binadamu tu?