BADILI TABIA ulishafika unyamwezini wewe........??hahahaaaaaa......lol
Ha ha ha haaah Senator p unamaanisha jamaa ndio wale waliokuwa wanaitwa manamba?Unajua kwa mara ya kwanza wa2 toka nje hawakuja tanganyka kuuza sura,biashara tu,na mwarabu aliwauza thana hawa kwa 7bbu ya nguv ya kaz,mpaka leo mashamb ya mkonge tanga na karafuu znz wapo wanyamwez.