Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Tofauti na awamu nyingine ambazo ilizoeleka wenye maslahi mapana kwenye chama, wanaharakati huru na watu wazito walikuwa wakijitokeza zaidi kujibu mashambulizi na kuutetea muhimili zama hizi wasanii wengi hasa wakiwa wepesi na masheikh ndio wamekuwa mstari wa mbele kujibu mashambulizi! Kulikoni?!
Nakumbuka kuna wakati hadi namba mbili wa suti nyeusi aliwahi kutokea kwenye media kujibu mashambulizi!
Nakumbuka kuna wakati hadi namba mbili wa suti nyeusi aliwahi kutokea kwenye media kujibu mashambulizi!