Mtu awezi kuamini katika uislamu na akawa na akili yaani asiwe ni mpumbavu na anithi wa akili ...kunatofauti ya kuitwa muislamu na kuamini katika uislamu...tatizo ni wale wanao amini katika uislamu ...siyo wale wenye majina tu yanayo tambulika kidini ...jina ni jina tu ila kuamini katika dini ni kitu kingineTofauti na awamu nyingine ambazo ilizoeleka wenye maslahi mapana kwenye chama, wanaharakati huru na watu wazito walikuwa wakijitokeza zaidi kujibu mashambulizi na kuutetea muhimili zama hizi wasanii wengi hasa wakiwa wepesi na masheikh ndio wamekuwa mstari wa mbele kujibu mashambulizi! Kulikoni?!
Nakumbuka kuna wakati hadi namba mbili wa suti nyeusi aliwahi kutokea kwenye media kujibu mashambulizi!