Kwa nini wasanii na wanamichezo humu JF hawajawa verified kama wanasiasa?

Alosto

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
366
Reaction score
352
Wanasiasa wengi humu wamekuwa verified kuanzia Kikwete ,magufuli ana mghwira ,pascal mayala ,zito kabwe ,mbowe ,lowasa ,ali hassan Mwinyi,William malecela le mutuz,mange kimambi

Lakini sijawahi kuona msanii yoyote au mwanamichezo
 
mkuu paskal mayala ni mwana siasa pia?je cheo chake ni kipi katka chama gani?
 
Wanasiasa wengi humu wamekuwa verified kuanzia Kikwete ,magufuli ana mghwira ,pascal mayala ,zito kabwe ,mbowe ,lowasa ,ali hassan Mwinyi,William malecela le mutuz,mange kimambi

Lakini sijawahi kuona msanii yoyote au mwanamichezo
Hao uliowataja wengi tu hawako humu kwa hizo verified id.
 
Kuna Ngumbaru mmoja alikuwa anaitwa William Mtitu, m bongo movie huyu ukiona michango yake huwezi kuamini kama ni jitu zima....

Fake Id zinaficha sana mengi
 
Nashangaa mfano ningependa tuwe watu kama
Sugu
Prof J
Diamond
Ally kiba
Ney
N. K
 
Verification kwa JF huombwa na muhusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…