Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao uliowataja wengi tu hawako humu kwa hizo verified id.Wanasiasa wengi humu wamekuwa verified kuanzia Kikwete ,magufuli ana mghwira ,pascal mayala ,zito kabwe ,mbowe ,lowasa ,ali hassan Mwinyi,William malecela le mutuz,mange kimambi
Lakini sijawahi kuona msanii yoyote au mwanamichezo
katibu mkuu chauma.mkuu paskal mayala ni mwana siasa pia?je cheo chake ni kipi katka chama gani?
katibu mkuu chauma.
Kwani huyo Mange Kimambi ana cheo gani na chama gani? ..... Is she a politician too?mkuu paskal mayala ni mwana siasa pia?je cheo chake ni kipi katka chama gani?
Wanasiasa kazi zetu ni za kuhudumia jamii lazima tutambulike usanii ni uamuzi wa ki social[emoji2]Hao uliowataja wengi tu hawako humu kwa hizo verified id.