Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Sisi na Kenya karibia 80% tuna share mambo mengi, kama vile lugha, market, utalii, mazingira, mito, transport, uchumi, biashara, tamaduni, na historia kwa hio usishangae ni kitu kinatokea automatically.leo hadi msemo "Kama kawaida" wengine wameubatiza "Kama kenya"
Uganda kumekuwa na Uchaguzi, umepita kimya...
Rwanda sijasikia hata kada au kamanda kagusa chigali kupiga promo.
Burundi hata ukiweka swali la interview Mpinzani mkuu ni nani huko Ufipa nzima wanakula F.
kwa nini kenya?
mbona wao huwa hatuwaoni wakikomaa hivyo kama huku...
Je Tanzania bila kujifananisha na kujilinganisha na kenya kwenye kila kitu haiwezekani?
NAWAZA
Tujifananishe na nchi kama rwanda,burundi,uganda ili tujifunze nn sasa,...kenya tunamambo meng ya kujifunza wametuacha mbali katk kila idara kiuchumi,kiutandawazi,ki sayansi na kisiasaleo hadi msemo "Kama kawaida" wengine wameubatiza "Kama kenya"
Uganda kumekuwa na Uchaguzi, umepita kimya...
Rwanda sijasikia hata kada au kamanda kagusa chigali kupiga promo.
Burundi hata ukiweka swali la interview Mpinzani mkuu ni nani huko Ufipa nzima wanakula F.
kwa nini kenya?
mbona wao huwa hatuwaoni wakikomaa hivyo kama huku...
Je Tanzania bila kujifananisha na kujilinganisha na kenya kwenye kila kitu haiwezekani?
NAWAZA
Mi naona aata bora wa upinzani aisee kuliko sisis wa ndiyo mzee kila kitu kiwe hakina kichwa wala miguu sisi ni wazee wa ndiyoo mzee,..na hichi kitu kinaniuzi sana ndani ya CCMwamewageuza vijana wengi kuwa kama mazombie hawajui wapende nini wapinge nini au waunge mkono nini na kwa wakati gani maana kila sekunde utasikia nyuma geuka, kuanzia sasa penda ulichokua unakichukia, pinga ulichokuwa unasisitiza.
Hata wao wanasema "Kama Maghufuli".leo hadi msemo "Kama kawaida" wengine wameubatiza "Kama kenya"
Uganda kumekuwa na Uchaguzi, umepita kimya...
Rwanda sijasikia hata kada au kamanda kagusa chigali kupiga promo.
Burundi hata ukiweka swali la interview Mpinzani mkuu ni nani huko Ufipa nzima wanakula F.
kwa nini kenya?
mbona wao huwa hatuwaoni wakikomaa hivyo kama huku...
Je Tanzania bila kujifananisha na kujilinganisha na kenya kwenye kila kitu haiwezekani?
NAWAZA
povu...akili mbovu ni yako ww hapo unaandika ujingaLazima tufanye reference Kenya maana ninyi akili mbovu mnakera mno kwa jinsi mnavyoipeleke nchi..
Nchi inaendeshwa hovyo hadi wananchi hawana ham..
Na kwa akili kama zako ndio inadhihirisha how boggas are you..
swali nzuri