King'asti umesema sahihi kabisa ila kuna jambo moja tu hapa naomba niliweke sawa X-'some is lazy compared to Y-'some. ingawa X ana mitochondria nyingi ukimkompea ya Y. sasa wakati wa copulation sperm inapotoka inatoka ikiwa na X&Y while ova ana X&X. Sasa basi kuna jambo moja la ajabu sana ambalo hutokea nalo ni X&Y "somes kutoka kwa male kucompete kwenda kwa ova kwajili ya fertilization. wakati wa hii competition Y huwa anakuwa na mbio sana kwasabbu ya wepesi wake na ufupi wake pia. ila sasa akifika na kukuta ova better for it itaingia ndani na kufanya fertiliation. inapotokea sasa hakuna ova Y huyu hufa baada ya masaa tu kwani anakuwa tayari amekwisha exhaust nguvu yote. na hapa ndipo X'some anapopata nafasi yake ya kupaka wanja. huyu atakaa hapa hata 3 days kusubiria an ova na lisipotokea ndipo hufa ila kama ova kitokea basi fertilization hufanyika kama ilvyokusudiwa tu.
sasa ukimuona baba anazaa madume tu ujue siku anazo fanya copulation ni siku ambazo tayari mama ameshatoa ova kwaajili ya ferilization. ukiona anapata wa kike tu ujue basi huwa anafanya ferilizaition some days after copulation. na ndio maana hii principle watu wanawez kuitumia ili kuweza kufanya sex dernmination ya mtoto. atleast kwa lay man language naweza kausema hivi.