kwa nini watoto wengi wanaozaliwa miaka ya sasa ni wa kike?

Vitabu vitakatifu vilishatabiri haya..... sayansi tueke pembeni.... Itafikia wanawake 10 watang'ang'ania kuolewa na mwanaume mmoja ilimradi waitwe kwa jina la mwanaume..... hata sasa tunaona wanawake ni wengi na wengine wanalalamika kutoolewa ......wakubali tu kuolewa mitala....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…