Kwa nini watu maarufu upendelea Range Rover na G-Wagon?

Hiyo ilikua ni 2016...

2017 imetoka Range Rover SVAutobiography...

Imetengenezwa na Land Rover and Special Vehicle Operation Division.

It is the most luxurious and powerful Range Rover ever made.
Ngoja niigoogle hii, hiyo Autobiography anasukuma Manji ila haina shida ngoja tukomae na Sedan zetu.
 
Ila lexus 570 nayo iko classical sana
Lexus LX ni tamu mno mkuu...

Japo wanailalamikia kwenye brake na on-road instability...

Napenda sana design yake... Hasa lilivyo kaa kama predator pale mbele.
 

Ninayo BMW SUV, so you are not telling me anything I don't know na kama unasema kuwa na SUV ndiyo kwenda na ulimwengu, na wabongo hatuendi na ulimwengu, mimi nitakuwa mbongo mmoja ninaye ku prove wrong. Ninazo mbili.

Ila hoja yangu ya carbon footprint hujaijibu kabisa.

Kama umeielewa at all.
 
mimi ninayo range rover ila nimpa Bibi aweke vitungu vyake ambayo haviuzi huko. ni ya mwaka 2017
 
Hivyo una maanisha SUVs zina larger carbon footprint than Sedans?

Nadhani njia pekee wanayoitumia Matajiri wanaopenda kutunza mazingira ni kununua electrical cars kama Tesla Model S,BMW i8 na Toyota Prius.

Mimi nadhani solution ya carbon footprint ni kutumia electrical cars...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…