Kwa nini watu maarufu upendelea Range Rover na G-Wagon?

Hizo range Rover na G-Wagon zinaitwa "gas guzzlers" kwa sababu ya injini kubwa. Miaka ya nyuma nyumbani kulikuwa na Range Rover Vogue 4.0, ukikanyaga mafuta ni kama unamwaga kikombe.

Kuna mitaa Fulani wanakaa wanamazingira hipsters ukipaki gari kama hizi wana zi spraypaint.

Kwa sasa ni vigumu kupata injini yenye nguvu sana kwenye gari la umeme.

Hilo halina maana kila SUV ni "gas guzzler".
 
Hapo nimekuelewa mkuu...

Most of the full size luxury SUVs ni gas guzzlers... Na 2017 G-wagon ndio inalalamikiwa zaidi kwenye Kula mafuta na emission ya carbon dioxide.

Fuel economy in a Range Rover and a G-wagon has never been a strength.

SUVs nyingi zinakula mafuta vibaya ndio maana watu wanakimbilia Sedans.
 
Vip kuhusu bugatti, Ferrari, lamboggin
Hizo ni supersport cars...

Huwezi kuipeleka off-road na zipo expensive than Range Rover and G-wagon.

Naipenda Lamborghini Aventador... But kibongobongo unahitajika uwe na gari ambayo itamudu njia zetu.

Bugatti,Lamborghini na Ferrari hazipo kwa ajili yetu.
 
Mkuu nimekuelewa asa asa wanapenda kutumia wasanii wamambele huko huku bongo vogue titakufa nazo
 
Mkuu nimekuelewa asa asa wanapenda kutumia wasanii wamambele huko huku bongo vogue titakufa nazo
Zilitengenezwa kwa ajili ya mbio za magari...

Ndio maana zinajali zaidi speed kuliko towing and off-road capability.

Kutokana ni expensive... Na matajiri wa ulaya wanapenda vitu vya gharama ili kuuonesha umma kuwa wana pesa chafu... Ndio maana zinanunuliwa.

Hizo ni status symbol... Hauna haja ya kujitambulisha,gari yenyewe tu inaongea “I'm Rich”
 
Mkuu samahani hivi kati ya G Wagon na Range Rover SVR ipi Ina stability nzuri?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…