Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
Vip kuhusu bugatti, Ferrari, lamboggin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo range Rover na G-Wagon zinaitwa "gas guzzlers" kwa sababu ya injini kubwa. Miaka ya nyuma nyumbani kulikuwa na Range Rover Vogue 4.0, ukikanyaga mafuta ni kama unamwaga kikombe.Hivyo una maanisha SUVs zina larger carbon footprint than Sedans?
Nadhani njia pekee wanayoitumia Matajiri wanaopenda kutunza mazingira ni kununua electrical cars kama Tesla Model S,BMW i8 na Toyota Prius.
Mimi nadhani solution ya carbon footprint ni kutumia electrical cars...
Sawa bhana....tuko wote mzee.,ingawa sasa napenda sana klugger.Yote kwa yote.hunitoi kwenye Rav4 old model manual gear
Hapo nimekuelewa mkuu...Hizo range Rover na G-Wagon zinaitwa "gas guzzlers" kwa sababu ya injini kubwa. Miaka ya nyuma nyumbani kulikuwa na Range Rover Vogue 4.0, ukikanyaga mafuta ni kama unamwaga kikombe.
Kuna mitaa Fulani wanakaa wanamazingira hipsters ukipaki gari kama hizi wana zi spraypaint.
Kwa sasa ni vigumu kupata injini yenye nguvu sana kwenye gari la umeme.
Hilo halina maana kila SUV ni "gas guzzler".
Hizo ni supersport cars...Vip kuhusu bugatti, Ferrari, lamboggin
Bado Kluger haifati kwa Rav4 old.kluger haina hata diff mzee.wamedanganyia ukubwa wa body tuSawa bhana....tuko wote mzee.,ingawa sasa napenda sana klugger.
Mkuu nimekuelewa asa asa wanapenda kutumia wasanii wamambele huko huku bongo vogue titakufa nazoHizo ni supersport cars...
Huwezi kuipeleka off-road na zipo expensive than Range Rover and G-wagon.
Naipenda Lamborghini Aventador... But kibongobongo unahitajika uwe na gari ambayo itamudu njia zetu.
Bugatti,Lamborghini na Ferrari hazipo kwa ajili yetu.
Tupia kapicha mkuu!Lexus LX ni tamu mno mkuu...
Japo wanailalamikia kwenye brake na on-road instability...
Napenda sana design yake... Hasa lilivyo kaa kama predator pale mbele.
Zilitengenezwa kwa ajili ya mbio za magari...Mkuu nimekuelewa asa asa wanapenda kutumia wasanii wamambele huko huku bongo vogue titakufa nazo
Hivi gwajima hana kweliKweli haya magari yanapendwa na watu wenye vipato vikubwa kama Manji,MO,
Hahahaha! Mtukufu alimind Mpaka akatamani na U Igp. Ila mtukufu Wetu ana wivu sana![]()
Hii chuma si mchezo mpaka mtukufu alimaind
Kaka watu wanaongelea kupendwa ingekua wanaongelea bei wangetaja makatapila maana yapo yana bei kubwa kuliko uliyo itaja hapoKitu Maybach G 650 gari za wanaume wa vijiji kama una pesa kuanzia dollar 500000 laki tano