Kwa nini watu maarufu upendelea Range Rover na G-Wagon?

Ila pamoja na yote hayo, mimi na prefer G-wagon kuliko range Rover nimetokea kuikubali tu ani sijui kwanini
 
Yeah Mkuu...

BMW X7 inataka kuja kuchukua crown kwa Range Rover.

Na kwa mara ya kwanza Lamborghini wanajiunga kwenye ulimwengu wa SUVs... Lamborghini Urus is on the way...

Mkuu hujaiona 2017 Land Rover Discovery and Discovery sport?
 
Ila pamoja na yote hayo, mimi na prefer G-wagon kuliko range Rover nimetokea kuikubali tu ani sijui kwanini
Sio wewe tu mkuu...

Hata mimi naipenda zaidi kuliko Range Rover.

Kuna Video moja ya MotorTrend waki zishindanisha 2013 Range Rover na 2013 G-wagon...

Walianza porini kuzipima off-road capability then wakaenda mjini kuzipima on-road capability.

At the end of the review jamaa anasema mwisho wa picha Range Rover ni mshindi lakini akipewa nafasi ya kuchagua atachukua G-wagon.
 
Ila lexus 570 nayo iko classical sana
Absolutely
 
Inabidi mwanaume uwe na gari yenye muonekano wa kiume
 
we G'taxi hauna hela ndo mana umeng'ang'ana na kill time yako ....ha ha ha kwani we hutak g wagon
Mi nataka Rav4.hujaona kuna watu wana pesa chafu lakini wanatembelea Escudo.hujawahi ona?ni sawa na mwingine ana pesa lakini anavaaga makobazi hayana shepu,mwingine masikini lakini anapiga ngwasuma ya laki na20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…