Pretty,
Cheating ni tatizo na ni ishara mbaya kwa jamii, kwa ndoa, kwa organization, kwa uchumba, kwa vyama vya siasa au vya kiraia, etc. Put it simple cheating is a sign of corruption.
Sasa kwa nini watu wana-cheat? hapa nadhani context ni kwenye mahusiano. Watu wana-cheat kwa sababu ya lack of moral values, lack of ethical values, emotional incompetence, etc. etc.
Cheating is corruption. Cheaters are corrupt morally, ethically, emotionally, etc ..... you name it.
Kwa hiyo cheating is not a healthy situation kama baadhi hapa wanavyoonekana ku-suggest. Binadamu umepewa the faculty of intelligence ambayo inatutofautisha na wanyama wengine. With this faculty moral and ethical values are imprinted. Sasa ukikosa vitu hivyo we utakuwa ni mtu wa ku-cheat and you will see comfort in cheating.
kwa nini cheating ni ishara mbaya? Danganywa uone utakavyo feel. Ukidanganywa halafu bado unaona ni normal, ujue una tatizo. Uongo au cheating siku zote kwenye mahusiano una matokeo mabaya na kila mtu anajua hilo. Sasa kwa nini aendelee kudanganya wakati anajua anachofanya kibaya? Ndo hayo niliyoelezea hapo juu.
Wakati mwingine mtu unaweza kujiuliza kwa nini watu wanakuchukia mtu mweusi au Mwafrika hasa ukienda Ulaya? They are afraid of your trickery. You will cheat at opportune and inopportune moments. You cannot be trusted. You are corrupt. You have no moral values. etc. etc.....
Kwa hiyo cheating in relationships si tofauti sana na cheating elsewhere. Zote ni dalili za kitu kimoja; corrupt personality, incompetent personality, poor personality, na vitu vinavyofanana na hilo.
Cheaters wa kwenye relationships will cheat elsewhere at different levels but surely they will cheat. They will cheat on money, they will cheat in exams, they will cheat.......
Cheating ni ishara ya jamii inayoamini katika mkato.
Tiba ya cheating??? Change yourself to negate the very characteristics of cheating! Ukijibadilisha wewe you will enlighten others.