Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko nchi ( msukuma cjakuelewa / kupigana short umemanisha nini

BIOTOXINS

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2026
Posts
1,091
Reaction score
2,283
Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko MASRAHI ya nchi tatizo lipo wapi
Ni pesa au Nini kilichojificha ..
Msukuma unasema kupigana short
Kwa hyo kudai KATIBA ni kupigana short ,mauji ya October ni kupigana short,kutekwa ni kupigana short ,polepole yupo wapi ni kupigana short
Kwa hyo mnaipenda ccm kuliko nchi
Hebu niambie umemanisha nn
 
Kwani hujui?
 
Back
Top Bottom