Kwa nini watu wapo against na Mwijaku?

Huo mzigo wa Zari ulinipitaje ?,mbona najua leo
 
Hii ya zari hebu tupia link mkuu
 
Usitulishe ujinga jinga. wewe kama upande wa menina usifikiri kila mtu nae yupo.

Walichokuwa wanafanya ni utamu wao ila ujinga waliokuwa wanafanya ni kujirekodi.
Ni ujinga kwa umri wao.
 
Hiyo video ikwapi link yake? au kama vipi nitumie pm Bosi.
 
Utandawazi unakuja na takataka nyingi sana nivyema kuwa makini
 
anaonyesha umwamba ni sehemu yamatangazo ya dawa mpya za kiume juice ya ubuyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…