Kwa nini Watu Wema Hufa Mapema (Wema Hawadumu)?

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Kuna nadharia mbali mbali ambazo zimejengwa kueleza kwa nini watu wema huwa hawadumu hapa duniani.
Nadharia moja wapo inapatikana kwenye machapisho ya Mtaalam wa mambo ya Kimungu anayejulikana kama Isaya na habari hizi ameziandika katika kitabu chake cha Isaya 57:1 akielezea kwa nini watu wema hufa mapema.
Pia mchambuzi wa maswala ya kiimani ajulikanaye kwa jina la Mathew Henry amejitahidi kuelezea au kuyachambua maandiko ya mwandishi huyo hapo juu.
Nadharia yao na maelezo yao iko katika lugha ya Kiingereza.

New Living Translation (Isaiah 57:1)
Good people pass away; the godly often die before their time. But no one seems to care or wonder why. No one seems to understand that God is protecting them from the evil to come.

Matthew Henry's Concise Commentary

57:1,2 The righteous are delivered from the sting of death, not from the stroke of it. The careless world disregards this. Few lament it as a public loss, and very few notice it as a public warning. They are taken away in compassion, that they may not see the evil, nor share in it, nor be tempted by it. The righteous man, when he dies, enters into peace and rest.
 
ili wabaya wapate nafasi ya kutubu dhambi na makosa yao
 
Kwa sababu siku hizi watu wamemtupa Mungu. Kwa hiyo anachofanya ni kwamba wale wazuri anawachukua mapema ili wasisumbuliwe na mabaya ya hapa duniani.

Lakini vile vile wakatili na wabaya anawaacha ili wawatese wengine ambao hawasikii, ili waanze kumuomba mungu. Tatizo ni kuwa wema huwa wanamwabudu mungu kimya kimya, lakini wakatili wanatesa watu na watu nao wanaanza kumuomba mungu.
 
kwa iyo mungu anataka uishi vizur ili akuue? contradiction!!! is death a reward?
 
Kuna nadharia mbali mbali ambazo zimejengwa kueleza kwa nini watu wema huwa hawadumu hapa duniani.
Nadharia moja wapo inapatikana kwenye machapisho ya Mtaalam wa mambo ya Kimungu anayejulikana kama Isaya na habari hizi ameziandika katika kitabu chake cha Isaya 57:1 akielezea kwa nini watu wema hufa mapema.
Pia mchambuzi wa maswala ya kiimani ajulikanaye kwa jina la Mathew Henry amejitahidi kuelezea au kuyachambua maandiko ya mwandishi huyo hapo juu.
Nadharia yao na maelezo yao iko katika lugha ya Kiingereza.

New Living Translation (Isaiah 57:1)
Good people pass away; the godly often die before their time. But no one seems to care or wonder why. No one seems to understand that God is protecting them from the evil to come.

Matthew Henry's Concise Commentary

57:1,2 The righteous are delivered from the sting of death, not from the stroke of it. The careless world disregards this. Few lament it as a public loss, and very few notice it as a public warning. They are taken away in compassion, that they may not see the evil, nor share in it, nor be tempted by it. The righteous man, when he dies, enters into peace and rest.

Mkuu Uzi Wako Huu UMENITOA CHOZI Haswa Nikikumbuka Kuwa WALE WATU WOTE AMBAO WALIKUWA WAKINIPENDA, KUNIJALI KWA HALI Na MALI Huku NIKIELEWANA Nao KWA KIASI KIKUBWA LEO Wote HAWAPO DUNIANI Na NIMEBAKI Na MAPOPOMA Tupu. ILA Ninachomshukuru Tu Mwenyezi Mungu Ni Kwamba Amenichukulia Wapendwa Wangu Kadhaa Lakini Amenipa WAPENDWA Wengine Wapya Ambao Ni Members Wote Wa Jamii Forum Hivyo Nafarijika Sana Na Mno. Nami Nataka Nijitahidi Niweze Kuwa Na Roho Ya Uwema Na Ubinadamu Kama Zao Lakini Najiuliza Nitaweza Kweli? Kwani Kuna Watu Wana Roho Nzuri Hadi Huwa NAJIULIZA Kuwa Wameumbwa Na Mwenyezi Mungu Huyu Huyu au?
 
nahisi ile kujali kwao sana kunapelekea wao kupotea ukiwa mbaya unaweza kuface any challenge ... hata kuumiza mwenzio ili uwepo ..... mwema anajitoa zaidi kwa wengine hatari sana
 
Kuna nadharia mbali mbali ambazo zimejengwa kueleza kwa nini watu wema huwa hawadumu hapa duniani.
Nadharia moja wapo inapatikana kwenye machapisho ya Mtaalam wa mambo ya Kimungu anayejulikana kama Isaya na habari hizi ameziandika katika kitabu chake cha Isaya 57:1 akielezea kwa nini watu wema hufa mapema.
Pia mchambuzi wa maswala ya kiimani ajulikanaye kwa jina la Mathew Henry amejitahidi kuelezea au kuyachambua maandiko ya mwandishi huyo hapo juu.
Nadharia yao na maelezo yao iko katika lugha ya Kiingereza.

New Living Translation (Isaiah 57:1)
Good people pass away; the godly often die before their time. But no one seems to care or wonder why. No one seems to understand that God is protecting them from the evil to come.

Matthew Henry's Concise Commentary

57:1,2 The righteous are delivered from the sting of death, not from the stroke of it. The careless world disregards this. Few lament it as a public loss, and very few notice it as a public warning. They are taken away in compassion, that they may not see the evil, nor share in it, nor be tempted by it. The righteous man, when he dies, enters into peace and rest.

Swali lako linafafa na hili swali… ..
Kwanini nguo unayopenda kuvaa sana ndo inawahi kuchakaa??????
 
Mkuu Uzi Wako Huu UMENITOA CHOZI Haswa Nikikumbuka Kuwa WALE WATU WOTE AMBAO WALIKUWA WAKINIPENDA, KUNIJALI KWA HALI Na MALI Huku NIKIELEWANA Nao KWA KIASI KIKUBWA LEO Wote HAWAPO DUNIANI Na NIMEBAKI Na MAPOPOMA Tupu. ILA Ninachomshukuru Tu Mwenyezi Mungu Ni Kwamba Amenichukulia Wapendwa Wangu Kadhaa Lakini Amenipa WAPENDWA Wengine Wapya Ambao Ni Members Wote Wa Jamii Forum Hivyo Nafarijika Sana Na Mno. Nami Nataka Nijitahidi Niweze Kuwa Na Roho Ya Uwema Na Ubinadamu Kama Zao Lakini Najiuliza Nitaweza Kweli? Kwani Kuna Watu Wana Roho Nzuri Hadi Huwa NAJIULIZA Kuwa Wameumbwa Na Mwenyezi Mungu Huyu Huyu au?

Hakika wewe ni mmoja wa watu wema
 
amna mtu anakufa mapema hata mmoja hivo basi kama alivo sema mungu kwenye vitabu vake hatamzidishia mtu muda wala hatampunguzia muda you will die at aright tim baaas
 
Comment yako si ya kweli, Nakumbuka kwenye biblia nilishawahi kusoma (sikumbuki mstari upi) Mwenyezi Mungu anatuambia atamzidishia muda wa siku zile zilizopotea mtu yulee atakae kubali kumrudia...!

Shame on you.
 
Kizuri au chema chochote hutegemewa sana, kufikia hatua ya kuzidiwa na majukumu ndiyo maana kinakufa mapema.
 
Vyema ni vichache sana kwenye hii dunia ndo mana wakifa ni rahisi kunotice ila hata wabaya wanakufa
 
Swali lako linafafa na hili swali… ..
Kwanini nguo unayopenda kuvaa sana ndo inawahi kuchakaa??????

Na pia ajiulize kwa nini nyimbo nzuri inawahi kuisha haraka. Ila kiukweli ipo hivi...yule mtu mwema kwako unakuwa na tamaa ya kumuona kila siku hadi ikitokea kafariki utahisi kawahi kumbe ni roho yako haiamini kama kafa. Ukija kwa mbaya au mwenye roho katili unaona anaishi miaka mingi kwa kuwa anabaki kuwa kero na unamkumbuka kila saa na kumhofia ndiyo maana utahisi anaishi muda mrefu kuliko mwema kwako.
 
Kuna nadharia mbali mbali ambazo zimejengwa kueleza kwa nini watu wema huwa hawadumu hapa duniani.
Nadharia moja wapo inapatikana kwenye machapisho ya Mtaalam wa mambo ya Kimungu anayejulikana kama Isaya na habari hizi ameziandika katika kitabu chake cha Isaya 57:1 akielezea kwa nini watu wema hufa mapema.
Pia mchambuzi wa maswala ya kiimani ajulikanaye kwa jina la Mathew Henry amejitahidi kuelezea au kuyachambua maandiko ya mwandishi huyo hapo juu.
Nadharia yao na maelezo yao iko katika lugha ya Kiingereza.

New Living Translation (Isaiah 57:1)
Good people pass away; the godly often die before their time. But no one seems to care or wonder why. No one seems to understand that God is protecting them from the evil to come.

Matthew Henry's Concise Commentary

57:1,2 The righteous are delivered from the sting of death, not from the stroke of it. The careless world disregards this. Few lament it as a public loss, and very few notice it as a public warning. They are taken away in compassion, that they may not see the evil, nor share in it, nor be tempted by it. The righteous man, when he dies, enters into peace and rest.

Mimi kwa mtazamo wangu naona si kweli kuwa wema hufa mapema. Kinachotokea ni kuwa mtu mwema akifa anawagusa wengi na ndio maana tunajuta na kujiuliza kwa nini amekwenda.

Ukweli ni kuwa watu wabaya wengi sana wanakufa (pengine hata kuzidi watu wema) bali hatujali kwa sababu ya ubaya wao. Fikiria majambazi, vibaka, wezi uchwara, wanajeshi wanaovamia nchi za watu bila sababu (Iraq, Uganda), wabwia/wasambazaji unga, nk. wanakufa/wanauawa kila uchweo lakini hawatugusi moyoni. Hivi nisemavyo pengine kuna kibaka anapigwa mawe katika moja ya miji yetu hapa Tanzania.

Ni maoni yangu tu. Sina supporting statistics, lakini hata kama ningekuwa na hizo takwimu ningeogopa kuzitoa nikichelea kukamwata na serikali kufuatia sheria mpya.:smile-big:
 
Kuna nadharia mbali mbali ambazo zimejengwa kueleza kwa nini watu wema huwa hawadumu hapa duniani.
Nadharia moja wapo inapatikana kwenye machapisho ya Mtaalam wa mambo ya Kimungu anayejulikana kama Isaya na habari hizi ameziandika katika kitabu chake cha Isaya 57:1 akielezea kwa nini watu wema hufa mapema.
Pia mchambuzi wa maswala ya kiimani ajulikanaye kwa jina la Mathew Henry amejitahidi kuelezea au kuyachambua maandiko ya mwandishi huyo hapo juu.
Nadharia yao na maelezo yao iko katika lugha ya Kiingereza.

New Living Translation (Isaiah 57:1)
Good people pass away; the godly often die before their time. But no one seems to care or wonder why. No one seems to understand that God is protecting them from the evil to come.

Matthew Henry's Concise Commentary

57:1,2 The righteous are delivered from the sting of death, not from the stroke of it. The careless world disregards this. Few lament it as a public loss, and very few notice it as a public warning. They are taken away in compassion, that they may not see the evil, nor share in it, nor be tempted by it. The righteous man, when he dies, enters into peace and rest.

I beg to differ.
Mi siamini hiyo dhana ya watu wema kufa mapema sababu hayo ni matokeo ya ideology tulioiunda sisi binaadam wenyewe. Mtu mwema hata angeishi miaka mingi kiasi gani bado kufa kwake kungeonekana ni mapema sababu umezoea kuona ule wema wake na sasa akili yako inakataa kwamba siku zake zimeisha hapa duniani. Unahisi kuna vitu bado ilihitajika avifanye halafu ikiwezekana ndio afe, hiyo point haipo kamwe.
Waovu wengi tu hufa mapema lakini kwa sababu ni kero, ghasia, chuki na roho yako juu yao huona wanaishi sana na ikitokea mmoja amekufa akili yako haihitaji kujitune kukubali kifo chake, ni auto response.
Maandikp hayo hayo yanadai mtu muovu anapunguza siku zake za kuishi na mwema ndio mwenye kuziongeza. Kuna ile amri aliyopewa Musa sijui ni ya ngapi, inasema waheshimu baba na mama ili......(usinipe jibu).
Change hiyo ideology, sijui ndio wanaita psychological trauma.
Ni imani tu iliyojengeka hivyo, waliompenda Yesu wakati ule walitamani aishi zaidi na zaidi lkn haikua hivyo. Lakini je, hakukua na waovu waliokuwa wanakufa mapema? Labda nikuulize mtoa mada, kama baba yako yu hai unadhan ni umri gani utakua sahihi yeye kuondoka hapa duniani. Ukikosa jibu, basi ndio hiyo ideology.
 
Mkuu Uzi Wako Huu
UMENITOA CHOZI Haswa Nikikumbuka Kuwa WALE WATU WOTE AMBAO WALIKUWA
WAKINIPENDA, KUNIJALI KWA HALI Na MALI Huku NIKIELEWANA Nao KWA KIASI
KIKUBWA LEO Wote HAWAPO DUNIANI Na NIMEBAKI Na MAPOPOMA Tupu. ILA
Ninachomshukuru Tu Mwenyezi Mungu Ni Kwamba Amenichukulia Wapendwa
Wangu Kadhaa Lakini Amenipa WAPENDWA Wengine Wapya Ambao Ni Members
Wote Wa Jamii Forum Hivyo Nafarijika Sana Na Mno. Nami Nataka Nijitahidi
Niweze Kuwa Na Roho Ya Uwema Na Ubinadamu Kama Zao Lakini Najiuliza
Nitaweza Kweli? Kwani Kuna Watu Wana Roho Nzuri Hadi Huwa NAJIULIZA Kuwa
Wameumbwa Na Mwenyezi Mungu Huyu Huyu au?

huyuhuyu ni yupi acha mihemko fafanua vizuri ueleweke.
 
Back
Top Bottom