KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Kiimani kifo hakina uhusiano na matendo ya mtu...watu wa imani huwa tunaamini kuwa kifo ni ahadi walizowekeana kati ya muumba na mja wake..na siku yako ikifika hakuna wa kuzuia kifo chako....tofauti ni kwamba huwa tunafurahishwa sana uwepo wa watu wema kutokana na matendo yao mazuri kwetu...hivyo hupelekea sisi kuwahitaji sana wao kila wakati....matendo yao mazuri kwetu hutufanya tuwaweke mioyoni mwetu...hivyo kupelekea tuone vifo vyao kuwa ni hasara kwetu.....tofauti na watu wabaya ambao vifo vyao huwa ni faida kwetu na uwepo wao ni hasara kwetu....mfano watu kama Idd Amin, Adolf Hiltrel....