Licha ya kutapeliwa . Wengi hawajui hata kusimamia biashara ya GENGEUnafanya kazi miaka 30 kusubiri kulipwa milioni 100 kama mafao.Alafu kesho unatapelewa
Lengo la ajira siyo kutafutia watu utajiri.Hali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi.
Tuanze na maswali ambayo ye mtazamo wa kuchokoza fikra:
"Je, Mafao ya Kustaafu ni Suluhisho Sahihi kwa Mtumishi Maskini Aliyefanya Kazi Miaka 30?"
Inakopesha watu mikopo ya magari kutoka Hazina, na mashirika labda useme pesa huwa ni kidogo, hawanufaiki wote"Kwanini Serikali Haikopeshi Watumishi Gari na Nyumba Mapema Badala ya Kusubiri Wastaafu?"
Maendeleo yapi?"Mtumishi Apate Maendeleo Akiwa Kazini au Baada ya Kustaafu?"
Hakuna mtumishi nanayewezeshwa baada ya kustaafu. Zile ni pesa zake alizotumia kwa miaka yake ya kazi. Siyo hisani"Ni Haki Mtumishi Kuwezeshwa Baada ya Kustaafu Badala ya Akiwa na Nguvu?"
Tuje kwe mada huku tukijipa hayo maswali.Mfumo uliopo unamlipa mtumishi mafao ya mkupuo (gratuity) baada ya kustaafu kama sehemu ya mafao yake. Hii ni kwa mujibu wa mifumo kama NSSF, PSPF (sasa PSSSF), GEPF, nk. Lengo ni kumwezesha baada ya kustaafu, lakini changamoto ni kuwa Amefanya kazi maisha yote bila kuwa na msaada mkubwa wa maendeleo binafsi na Hana muda tena wa kuwekeza au kutumia vizuri pesa hizo kwa muda mrefu.Anapewa pesa nyingi wakati nguvu zake za kuzalisha kipato zimepungua au zimeisha.
Watumishi wamekuwa wakishindwa kuishi maisha mazuri sababu ya bado wapo kazini na Mikopo ya nyumba ni michache, na yenye masharti magumu.Jambo lengine Mikopo ya magari au maendeleo binafsi huambatana na riba kubwa ili upelekea Wengi huishia kuishi kwa kukopa hadi kustaafu.
Hii inasababisha wengi wasiwe na nyumba wala mali hadi muda wa kustaafu—wakati ambapo wangekuwa wamewezeshwa mapema wangeishi maisha bora na kuwa na uchumi binafsi imara hata kabla ya kustaafu.
Kwanini Serikali Haitoi Fursa Mapema?
Sababu zinaweza kuwa Serikali huona ni rahisi kupanga bajeti za mafao baada ya mtu kutoka kazini kuliko kutoa mikopo ya maendeleo mapema.
Hofu ya ukosefu wa ulipaji wa mikopo Serikali huamini inaweza kuwa ngumu kudhibiti matumizi ya mikopo au malipo yake.
kutokuwepo kwa sera rafiki kwa watumishi wa umma kupelekea Mfumo haujawekewa mikakati ya kuwasaidia watumishi kuwa na maisha bora wakati wa kazi.
Nini Kifanyike?
Serikali ianzishe mpango wa mikopo ya nyumba/gari kwa watumishi wa muda mrefu, kwa masharti nafuu na kulipia kupitia mishahara.
Mtumishi aweze kuchukua sehemu ya mafao yake akiwa bado kazini kwa matumizi ya maendeleo.
Watumishi wafundishwe kuhusu uwekezaji na matumizi bora ya mishahara kabla ya kustaafu.
View attachment 3374568
Ungefanya utafiti labda mwenzago hupo nchi hii ndio umeona mawazo yako.Nchi za wenzetu ndio maana zina wafanyakazi imara na kupenda kazi yao sababu hizo fursa wanapata mapema sio mpaka uzeekeLengo la ajira siyo kutafutia watu utajiri.
Inakopesha watu mikopo ya magari kutoka Hazina, na mashirika labda useme pesa huwa ni kidogo, hawanufaiki wote
Maendeleo yapi?
Kazinya mwajiri siyo mfanyakazi apate maendeleo. Ndio maana hata vituo vya kazi ni kwa hitaji la mwajiri na siyo anakotaka mfanyakazi
Hakuna mtumishi nanayewezeshwa baada ya kustaafu. Zile ni pesa zake alizotumia kwa miaka yake ya kazi. Siyo hisani
Hizo 100 ilikuwa zamani.Unafanya kazi miaka 30 kusubiri kulipwa milioni 100 kama mafao.Alafu kesho unatapelewa
Tunarudi swala bima mpaka kufa kwako ina maana bima hakuna msaada ukishafika uzeeniYale mafao ya mwisho yanatafsiri, hela ya kutibia kwa magonjwa ya uzeeni pamoja na mazishi yako; kwa sababu kimtazamo, ukishastaafu wewe si nguvu kazi tena, kwa lugha ya mitaani unakuwa ni skrepa.
Kwa hiyo hela ya kustaafu si ya uwekezaji wowote au ujenzi, bali ni ya kuukarabati mwili mpaka pale muumba atakapo kuchukua.
🤣🤣🤣Yale mafao ya mwisho yanatafsiri, hela ya kutibia kwa magonjwa ya uzeeni pamoja na mazishi yako; kwa sababu kimtazamo, ukishastaafu wewe si nguvu kazi tena, kwa lugha ya mitaani unakuwa ni skrepa.
Kwa hiyo hela ya kustaafu si ya uwekezaji wowote au ujenzi, bali ni ya kuukarabati mwili mpaka pale muumba atakapo kuchukua.
Hivi unajua kiinua mgongo ni nini?Hali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi.
Tuanze na maswali ambayo ye mtazamo wa kuchokoza fikra:
"Je, Mafao ya Kustaafu ni Suluhisho Sahihi kwa Mtumishi Maskini Aliyefanya Kazi Miaka 30?"
"Kwanini Serikali Haikopeshi Watumishi Gari na Nyumba Mapema Badala ya Kusubiri Wastaafu?"
"Mtumishi Apate Maendeleo Akiwa Kazini au Baada ya Kustaafu?"
"Ni Haki Mtumishi Kuwezeshwa Baada ya Kustaafu Badala ya Akiwa na Nguvu?"
Tuje kwe mada huku tukijipa hayo maswali.Mfumo uliopo unamlipa mtumishi mafao ya mkupuo (gratuity) baada ya kustaafu kama sehemu ya mafao yake. Hii ni kwa mujibu wa mifumo kama NSSF, PSPF (sasa PSSSF), GEPF, nk. Lengo ni kumwezesha baada ya kustaafu, lakini changamoto ni kuwa Amefanya kazi maisha yote bila kuwa na msaada mkubwa wa maendeleo binafsi na Hana muda tena wa kuwekeza au kutumia vizuri pesa hizo kwa muda mrefu.Anapewa pesa nyingi wakati nguvu zake za kuzalisha kipato zimepungua au zimeisha.
Watumishi wamekuwa wakishindwa kuishi maisha mazuri sababu ya bado wapo kazini na Mikopo ya nyumba ni michache, na yenye masharti magumu.Jambo lengine Mikopo ya magari au maendeleo binafsi huambatana na riba kubwa ili upelekea Wengi huishia kuishi kwa kukopa hadi kustaafu.
Hii inasababisha wengi wasiwe na nyumba wala mali hadi muda wa kustaafu—wakati ambapo wangekuwa wamewezeshwa mapema wangeishi maisha bora na kuwa na uchumi binafsi imara hata kabla ya kustaafu.
Kwanini Serikali Haitoi Fursa Mapema?
Sababu zinaweza kuwa Serikali huona ni rahisi kupanga bajeti za mafao baada ya mtu kutoka kazini kuliko kutoa mikopo ya maendeleo mapema.
Hofu ya ukosefu wa ulipaji wa mikopo Serikali huamini inaweza kuwa ngumu kudhibiti matumizi ya mikopo au malipo yake.
kutokuwepo kwa sera rafiki kwa watumishi wa umma kupelekea Mfumo haujawekewa mikakati ya kuwasaidia watumishi kuwa na maisha bora wakati wa kazi.
Nini Kifanyike?
Serikali ianzishe mpango wa mikopo ya nyumba/gari kwa watumishi wa muda mrefu, kwa masharti nafuu na kulipia kupitia mishahara.
Mtumishi aweze kuchukua sehemu ya mafao yake akiwa bado kazini kwa matumizi ya maendeleo.
Watumishi wafundishwe kuhusu uwekezaji na matumizi bora ya mishahara kabla ya kustaafu.
View attachment 3374568
Kama michango inaingia kwenye bima huduma itaendelea, pia bima ina kikomo kwenye matibabu.Tunarudi swala bima mpaka kufa kwako ina maana bima hakuna msaada ukishafika uzeeni
Tatizo unauliza swali ambalo halipo. Kiinua mgongo siyo hela ya serikaliNImetoa mada unauliza swali tena.Embu jibu hii mada kwanza mbona unataka kufanana na samia hoja juu ya hoja kule simiyu
Nchi gani hizo, toa mfano?Ungefanya utafiti labda mwenzago hupo nchi hii ndio umeona mawazo yako.Nchi za wenzetu ndio maana zina wafanyakazi imara na kupenda kazi yao sababu hizo fursa wanapata mapema sio mpaka uzeeke
Mafao makubwa yapi unaongelea maana kuna kikokotoo siku hizii..Hali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi.