Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Hapo ujaona makosa
Upo sahihi, tatizo vijana wengi hawajui mifumo ya social securities inavyoendeshwa. Ni unyonyaji mtupu ila una faida yake baada ya kustaafumaana hutakuwa na mshahara au kipato tenaUkifikiri kwa kina, utagundua shirika la bima ni taasisi inayojiendesha kwa michango ya wanachama, iwe ni ununuzi wavitendea kazi, mafuta, kulipa bili za maji, umeme, posho n.k
Mfano leo hii, wachangiaji wote wa bima wakiugua kwa wakati mmoja, shirika halitaweza kuwahudumia.
Kuna tafiti tulifanya ndogo ambayo kama vodabima inaweza kuwafikia wateja milioni 20 tu kwa makato ya vodabima kwa mwezi ambayo 4000 kwa mwezi jumla itakuwa shingapi na mwaka itakuwa shingapi .Ukifikiri kwa kina, utagundua shirika la bima ni taasisi inayojiendesha kwa michango ya wanachama, iwe ni ununuzi wavitendea kazi, mafuta, kulipa bili za maji, umeme, posho n.k
Mfano leo hii, wachangiaji wote wa bima wakiugua kwa wakati mmoja, shirika halitaweza kuwahudumia.
Una point usikilizwe!Hali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi.
Tuanze na maswali ambayo ye mtazamo wa kuchokoza fikra:
"Je, Mafao ya Kustaafu ni Suluhisho Sahihi kwa Mtumishi Maskini Aliyefanya Kazi Miaka 30?"
"Kwanini Serikali Haikopeshi Watumishi Gari na Nyumba Mapema Badala ya Kusubiri Wastaafu?"
"Mtumishi Apate Maendeleo Akiwa Kazini au Baada ya Kustaafu?"
"Ni Haki Mtumishi Kuwezeshwa Baada ya Kustaafu Badala ya Akiwa na Nguvu?"
Tuje kwe mada huku tukijipa hayo maswali.Mfumo uliopo unamlipa mtumishi mafao ya mkupuo (gratuity) baada ya kustaafu kama sehemu ya mafao yake. Hii ni kwa mujibu wa mifumo kama NSSF, PSPF (sasa PSSSF), GEPF, nk. Lengo ni kumwezesha baada ya kustaafu, lakini changamoto ni kuwa Amefanya kazi maisha yote bila kuwa na msaada mkubwa wa maendeleo binafsi na Hana muda tena wa kuwekeza au kutumia vizuri pesa hizo kwa muda mrefu.Anapewa pesa nyingi wakati nguvu zake za kuzalisha kipato zimepungua au zimeisha.
Watumishi wamekuwa wakishindwa kuishi maisha mazuri sababu ya bado wapo kazini na Mikopo ya nyumba ni michache, na yenye masharti magumu.Jambo lengine Mikopo ya magari au maendeleo binafsi huambatana na riba kubwa ili upelekea Wengi huishia kuishi kwa kukopa hadi kustaafu.
Hii inasababisha wengi wasiwe na nyumba wala mali hadi muda wa kustaafu—wakati ambapo wangekuwa wamewezeshwa mapema wangeishi maisha bora na kuwa na uchumi binafsi imara hata kabla ya kustaafu.
Kwanini Serikali Haitoi Fursa Mapema?
Sababu zinaweza kuwa Serikali huona ni rahisi kupanga bajeti za mafao baada ya mtu kutoka kazini kuliko kutoa mikopo ya maendeleo mapema.
Hofu ya ukosefu wa ulipaji wa mikopo Serikali huamini inaweza kuwa ngumu kudhibiti matumizi ya mikopo au malipo yake.
kutokuwepo kwa sera rafiki kwa watumishi wa umma kupelekea Mfumo haujawekewa mikakati ya kuwasaidia watumishi kuwa na maisha bora wakati wa kazi.
Nini Kifanyike?
Serikali ianzishe mpango wa mikopo ya nyumba/gari kwa watumishi wa muda mrefu, kwa masharti nafuu na kulipia kupitia mishahara.
Mtumishi aweze kuchukua sehemu ya mafao yake akiwa bado kazini kwa matumizi ya maendeleo.
Watumishi wafundishwe kuhusu uwekezaji na matumizi bora ya mishahara kabla ya kustaafu.
View attachment 3374568
Kukatwa kwa pesa hakuna manufaa kwa mwanachama zaidi ya kuipa uhai shirika husika, ndio maana kwa upande wa shirika makato ya mwanachama kwake ni mapato.Kwanza mfanyakazi kama mfanzi hapendi mshahara wake uguswe kwa kukatwa hata mia..
Ndio maana makato haya sio ya hiari kwa pande zote, mwajiriwa na mwajiri.
Hii yote ni kulinda masilahi ya mfanyakazi ambaye kwa wakati huo hawazi yajayo.
Lait itokee leo, kanuni ibadilike makato hayo yawe ya hiari....wafanyakazi wengi watachagua mishahara yao isiguswe..
Kwanza kabisa hayo mafao sio pesa nyingii sana kama ulivyozijengea hojaHali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi.