lucky_boy
Senior Member
- Aug 9, 2017
- 121
- 244
Hivi ni kwa nini kwenye taasisi za umma imekuwa ni tamaduni ya kawaida kuchelewesha kimakusudi huduma fulani kwa raia ili tu kushawishi mazingira ya kutanguliza pesa ili uwahishiwe huduma?
Ni mishahara midogo, tamaa au usimamizi mbovu. Maana unaweza kukamilisha kila kinachohitajika na swala likakaa mezani bila kupiga hatua hata ukifuatilia mara nyingi utaambiwa swala linafanyiwa kazi na wala halijaenda popote bila kujali wewe una uhitaji kiasi gani na je hii ina madhara gani kwenye uzalishaji kitaifa?