Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Naona Wazanzibari wanasema sisi ni wabaguzi eti kwa sababu Rais ametoka Zanzibar.
On paper Samia ni Rais wa Muungano, yani wa Tanzania yote, lakini Zanzibar ina Rais wao tayari kwa hiyo wana Marais wawili, Rais wa Zanzibar na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Lakini kwa kuwa Samia ni Rais wa Muungano na Zenji ina Rais wake tayari maana yake in reality 98% of the time Samia ni Rais wa Tanganyika zaidi.
Kama Tanganyika ipo chini ya Rais Mzanzibari, na Rais huyo ni incompetent kwa nini asichukiwe? Maana Samia alipoingia madarakani Watanganyika wengi hawakuwa na shida naye, ila tu alipoanza udikteta wake uchwara na kuua watu ndio watu wakaanza kumchukia.
Yeye ndio sababu 100% kwa nini watu wameanza kuongelea masuala ya Utanganyika , kwa sababu mtu kutoka Zanzibar anapoanza kuwa dikteta na muuaji na mtekaji wa Watanganyika licha ya kwamba Watanganyika walimuonesha upendo mwanzoni, ni rahisi kufikiria huenda anafanya hivyo kwa sababu sio Mtanganyika so hana uchungu na ardhi ya Tanganyika wala watu wake. Kama angekuwa ni Rais mzuri usingesikia hizi habari za Utanganyika na Uzanzibari in the first place
At the same time, Wazanzibari wanasema eti tunamchukia kwa sababu ni Mzanzibari, kama ni hivyo mbona Mwinyi hakuchukiwa? Au kwa nini Samia hakuchukiwa alipoingia madarakani mwaka 2021? Kwani watu walikuwa hawajui kuwa ni Mzanzibari tangu hapo mwanzo?
Halafu Wazanzibari wanaposema sisi ni wabaguzi ndio maana hatumpendi Samia nadhani wanajisahau sana. Sisi tuna afadhali mno kuliko wao kwa sababu sipati picha kama Rais wa Zanzibar angekuwa Mtanganyika. Kwanza hawawezi kukubali hilo hata chembe. Sisi huku tulimpokea Samia bila chuki baadae akaanza kuua Watanganyika, halafu mtu atakayeongea kupinga matendo yake anatekwa au kuuawa. Kwamba mnataka tukalie kimya uovu wa Samia eti ili tusionekane wabaguzi, au eti tumchekee kwa sababu ni Mzanzibari?
Wengine eti wanasema chuki ni kwa sababu Samia ni mwanamke au kwa sababu ni muislamu
Kuwa Mzanzibari, au Muislamu au mwanamke hakukupi chance ya kutesa Watanzania (bara), watu hawatoacha kuongea haijalishi utaplay victim kiasi gani.
Unaweza kuwa mwanamke, Mzanzibari na muislamu at the same time na usiwe muuaji, mtekaji na fisadi kama Samia. Hivyo vitu havihusiani
Watu wanakuchukia kwa matendo yako. Hakuna mwenye shida na dini yako, jinsia yako wala Uzanzibari wako, watu wana shida na matendo yako ya kikatili, heartless woman
Yani hadi leo August 2026 bado Wazanzibari wanajifanya hawaelewi kinachoendelea Tanzania bara, bado wanamtetea huyu muuaji wao kwenye mwamvuli wa dini, jinsia na Uzanzibari. Huu ni ujinga au utaahira?