Kwa nini Yanga mumeamua kututesa mashabiki?

mcfm40

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,452
Reaction score
3,151
Mimi ni Yanga damu, nimekuwa naipenda Yanga tangu utotoni. na ilifika mahali Yanga ikifungwa hata chakula siwezi kula. Sasa mdudu wa siasa ameingilia klabu yetu. Yanga imeonesha waziwazi kuwa upande wa CCM na hata cannavaro alionekana uwanjani akionesha bango la Magufuli.

Sasa sisi mashabiki damu inatuwia ngumu sana. Najisikia ugumu mkubwa sana kushabikia kwa mgfano samba kwa sababu naichukia sana tangu utotoni. hebu fikiria shabiki wa man U eti ahamie man city. Ngumu kumesa. sasa tuuombe uongozi wa Yanga uwe makini kwa sababu mtatupoteza mashabiki wenu! Mnatuumiza sana mnapotulazimisha tushindwe kuipenda timu yetu kwa sababu mmeamua kujihusisha moja kwa moja na ccm chama tunachokichukia km ukoma. Wengine wetu ni heri kuacha kuishabikia Ynaga kuliko kuhusishwa na ccm. Mfano tukifungwa mashabiki wa samba wamekuwa wakiimba ccm, ccm, ccm. Inakera sana. ndugu zangu wanamichezo hebu nisaidieni nifanyeje? Eddo kumwembe, shafii dauda, Ezekiel kamwaga, na wengineo, nifanyeje ? Sipendi timu yangu ijiusishe na CCM. Pia natamani ynaga wabadili jezi zao aidha wavae gold na nyesui pekee, au kijani tupu na nyeusi. ili kuondoa ile rangi ya bendera ya ccm!
 
Yaan ushabiki wa vyama ukufanye uichukie yanga! Xaxa ndugu yangu usitake kufanya kuwa watu wooote wanaroho kama yako hilo sahau ww ukihama yanga 1000 watahamia yanga hivo kila mtu anamutazamo wake
 
Kabisa ndugu wewe huoni tatizo? Uongozi wa Yanga lazima uwe makini na wajue hiki ni kipindi cha vyama vingi. Hivyo si vizuri kuhusiosha timu yenye mashabiki wenye itikadi tofauti na chama kimoja cha siasa!
 
Kabisa ndugu wewe huoni tatizo? Uongozi wa Yanga lazima uwe makini na wajue hiki ni kipindi cha vyama vingi. Hivyo si vizuri kuhusiosha timu yenye mashabiki wenye itikadi tofauti na chama kimoja cha siasa!

Achana na Nadir, elezea uongozi unahusikaje na kuiingiza Yanga CCM. Halafu ueleze msingi wa klabu ya Yanga ni Nadir au katiba? Baada ya hapo utuache tuendelee kufurahia soka sie, wewe uende kwenye mafuriko.
 

Kwanza Timu siyo yako timu ya wananchi wewe ni mshabiki tuu. Pili kama vipi jitoe na KABILA LAKO Maana management nzima ya hao unaowashabikia wanatoka kaskazini. Au kama vipi Hamia Mikia FC wana rangi unazozishabikia?
 
Hawa mapimbi wameona Yanga timu ya wananchi na ndio timu yenye mashabiki wengi kuliko timu zote Tanzania wanataka kuitumia kama gia ya kutafutia wanachama wa vyama vyao vya siasa. Hii ni thread ya Tano kwa siku ya leo inayohusisha yanga na maswala ya siasa, wametumwa wapite kila jukwaa kuleta huu upumbavu wao. Tuachieni Yanga yetu kama kweli wameudhika WANGEANZA NA MGOSI ALIYEVAA JEZI ZA CHAMA CHAO HUKU KASHIKA PICHA ZA MGOMBEA WA CHAMA CHA KIJANI NA NJANO.

Moderators msiruhusu hawa watu watuletee siasa katika michezo jukwaa la michezo ndio jukwaa tulivu kuliko yote humu JF tunaomba muwadhibiti kama mlivyomdhibiti ndugu yake na sembo aliyekuwa anaitwa grafani11
 
Last edited by a moderator:
Jana nimeulizwa swali hili;

Mbona unaishabikia YANGA wakati jezi zao ni za CCM nawe unaichukia CCM?
jibu lake;
jezi za YANGA hazina uhusiano wowote na CCM.

ko mkuu achana na masuala ya YANGA na CCM na hata kama viongozi watakuwa CCM wewe baki na UKAWA tu
 

Mkuu pita klabu ya yanga pale jangwani angalia mlango wa kioo wa kuingilia ndani umebandikwa picha kuubwa 3 za kampeni za magufuli. Sasa ni mleta mada ndiye anayechanganya michezo na siasa au viongozi njaa wa yanga walioacha kubandika picha za ccm makwao wakabandika kwenye klabu ya wananchi wote?
 
Last edited by a moderator:

Na picha za magufuli kwenye mlango wa kioo wa kuingilia klabu ya yanga zimefata nn
 
Na picha za magufuli kwenye mlango wa kioo wa kuingilia klabu ya yanga zimefata nn


Mkuu viongozi wetu ndo wa ovyo kutuletea siasa kwenye club ya YANGA na LICHAMA lililochoka.
 

STREET SMART ana thread kule Jukwaa la uchaguzi kichwa cha thread ni (kumbe yanga ni tawi la ccm nimeamua kujitoa rasmi kusapoti leo )

mcfm40 ana thread jukwaa la michezo kichwa cha thread ni (kwanini yanga mumeamua kututesa mashabiki wenu)

STREET SMART ana thread tena jukwaa la michezo kichwa cha thread ( kumbe ni kweli yanga ni CCM..Nimejitoa rasmi kuisapoti leo)

Huyu ni mtu mmoja ambaye analeta siasa na kampeni za kijinga JF.

cc: Paw, Invisible and Moderator unganisheni hizi thread, zifuteni au pelekeni kunakohusika.

JF imeingiliwa Mimoderator imelala
 
Last edited by a moderator:
Kwanza Timu siyo yako timu ya wananchi wewe ni mshabiki tuu. Pili kama vipi jitoe na KABILA LAKO Maana management nzima ya hao unaowashabikia wanatoka kaskazini. Au kama vipi Hamia Mikia FC wana rangi unazozishabikia?

...very poor analysis; umeamua kujibebesha ujinga wa viongozi wa Yanga halafu unashindwa kuutetea, you are so stupid, unaleta siasa za ukabila leo?! how old are you?! hamna mashabiki wa Yanga wanaopenda upinzani?, unajifanya wewe ndio umezaliwa na Yanga tumbo moja...
#mav.!
 

Yes iam stupid na pia sijazaliwa na Yanga tumbo moja. Infact i have better things to do sio kama nyinyi mnaolipwa na vyama vyenu kwa idadi ya useless thread mnazoanzisha.

So tema shombo utakavyo am okey with it. Have a nyc day KUnunua MAji MAzuri KOjani
 

...thank you for accepting your dirty mind full of stupidity.!
 

.......... . ......... ......
 
Michezo ni kifaa pekee kinachounganisha watu wa dini zote,vyama vyote na makabila yote...
 

Attachments

  • 1443820006311.jpg
    8 KB · Views: 224
  • 1443820019419.jpg
    36.4 KB · Views: 226
Safi sana GT yahoo. Wenye akili washaelewa

Maana yangu ni kwamba ukisema yanga ni ccm unakuwa unatukosea cc wanayanga wa chadema....yanga kuna akina halima mdee wanaochukia ccm lakini ni wanayanga wa kutupwa.
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wetu wanakubalije timu itumiwe na wanasiasa?"Hawajui mashabiki wao ni wa vyama vyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…