mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,151
Mimi ni Yanga damu, nimekuwa naipenda Yanga tangu utotoni. na ilifika mahali Yanga ikifungwa hata chakula siwezi kula. Sasa mdudu wa siasa ameingilia klabu yetu. Yanga imeonesha waziwazi kuwa upande wa CCM na hata cannavaro alionekana uwanjani akionesha bango la Magufuli.
Sasa sisi mashabiki damu inatuwia ngumu sana. Najisikia ugumu mkubwa sana kushabikia kwa mgfano samba kwa sababu naichukia sana tangu utotoni. hebu fikiria shabiki wa man U eti ahamie man city. Ngumu kumesa. sasa tuuombe uongozi wa Yanga uwe makini kwa sababu mtatupoteza mashabiki wenu! Mnatuumiza sana mnapotulazimisha tushindwe kuipenda timu yetu kwa sababu mmeamua kujihusisha moja kwa moja na ccm chama tunachokichukia km ukoma. Wengine wetu ni heri kuacha kuishabikia Ynaga kuliko kuhusishwa na ccm. Mfano tukifungwa mashabiki wa samba wamekuwa wakiimba ccm, ccm, ccm. Inakera sana. ndugu zangu wanamichezo hebu nisaidieni nifanyeje? Eddo kumwembe, shafii dauda, Ezekiel kamwaga, na wengineo, nifanyeje ? Sipendi timu yangu ijiusishe na CCM. Pia natamani ynaga wabadili jezi zao aidha wavae gold na nyesui pekee, au kijani tupu na nyeusi. ili kuondoa ile rangi ya bendera ya ccm!