Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mpaka leo sijaelewa ni kwa nini Yanga walikuwa wanajiita wa Kimataifa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa! Hivi kuwa wa kimataifa ni kupanda Ndege kwenda nchi nyingine ama kucheze kwa viwango vya kimataifa kwenye mashindano ya kimataifa!!Unajiulizisha et
Acha vijembe mzee baba jiombee uokoke kwa Mkapa.Sawa! Hivi kuwa wa kimataifa ni kupanda Ndege kwenda nchi nyingine ama kucheze kwa viwango vya kimataifa kwenye mashindano ya kimataifa!!
Nipo kwenye Kitala naongea na mababu zangu!!Acha vijembe mzee baba jiombee uokoke kwa Mkapa.